Recent content by Nkwana

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Antenna anayo? Tuanzie hapo kwanza.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Nicheki 0713349984, mimi ni Photographer, napatikana Makumbusho Dar es Salaam
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

    Ukishaongelea bank account automatically inakuwa simbanking kwa dunia ya sasa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kununua ni bora mara mia kuliko mahusiano

    Malaya mpya au malaya mgeni?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wazoefu na wabobezi: Nina akiba ya Tsh. Milioni 50 nianze na kipi maishani?

    Tumia milioni 45 kufungua duka la vyuma na mabati(vinavyotumika kwenye mageti nk) hii biashara ni nzuri, chuma hakiozi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujilipua. Nimeanza upya

    Nakuona mbali sana, usife moyo,funga zipu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nawakubali sana wanaume wenye six pack

    Kipa hayupo kabisa golini
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Mtaji wa 2.5M nitatoboa kwenye biashara ya uwakala?

    Pesa haijawahi kutosha kwenye biashara ya uwakala lakini unaweza kufanya ata kwa laki tano mkuu, kila la heri, umakini ni muhimu sana.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume Dodoma

    Jichanganye sasa ukutane na jitu lina miraba minne
  10. N

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

    Yeyote anaweza kutangulia
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Umeambiwa hana pesa. Unataka aende kwa Mwamposa na hana maokoto, atapeleka makende au.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Binti yangu umri wa miaka 5 mbishi hataki kutumwa, kwenda shule asubuhi hataki

    Mtoto kuwa smart ni malezi, wazazi tutenge wa kutosha kukaa na familia zetu, kila kitu mnamuachia dada wa kazi, matokeo ndio hayo sasa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Shukurani kwa hili jukwaa limenifanya leo hii naanza kuheshimika kwa watu wangu wa karibu

    Muda utakaotumiq kupambania mtaji bongo na ulaya au Marekani ni tofauti, hiwezi kulinganisha kipato cha mtu anayebeba mabox Houston USA na yule anayebeba Dar es Salaam. In short , kama unapata nafasi yakwenda kujitafutia maisha U.SA. nenda haraka sana achana na watu wanaokukatisha tamaa.
Back
Top Bottom