Recent content by Nkwama welding

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuingiza internet kwenye simu.

    Asanteni wakuu msaada wenu umenifaa. Karibuni sana saranga.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kuingiza internet kwenye simu.

    Wadau nina simu aina ya itel ina android nataka kutumia intrrnet kupitia line ya tigo naomba mnisaidie kujaza maelezo yafuatayo: Name. APN. Proxy. Port. Username. Password. Server. Mmsc. MNC. Authentification type.APN type.APN protocal. Nitashukuru kwa msaada wenu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi ili uweze kukwamuka umasikini

    Asante kwa elimu nzuri kuhusu ufugaji wa supu nitaifanyia kazi soon.
  4. N

    JamiiForums Tanzania HII ndo Mikoa tajiri Tanzania (Kwa mujibu wa BOT), Mbeya yaishinda Arusha...

    Go Mbeya go ! Sogola kuntagalila hula!
  5. N

    JamiiForums Tanzania mottor and dynamo kwa umeme wa bure

    kama umeweza kuwa na dynamo nakushauri ujaribu umeme wa uupepo,siyo ule wa mnara mrefu utakugharimu ku erect mnara,nazungumzia ule wa kutumia pipa lililokatwa kwa urefu nakutegwa kuwa turbine ambayo ikipigwa na upepo inazungusha dynamo ambayo itafua umeme kwa ajili ya kuchaji betri . Ukiwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tenga anaua soka la Tanzania

    Naomba tutengeneze kitu hapa chenye kufanana na balance sheet,upande wa kushoto tujaze mambo mazuri aliyoweza kuyafanya na upande wa kulia tujaze mapungufu na madhaifu yake and then tuangalie upande upi nimzito zaidi na ndipo tupate conclusion.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Pata Maujanja kwa PC Zisizo na RAM kubwa

    Mkuu asante kwa elimu.naomba nikuulize swali lililo nje ya mada! Je nahitaji kuwa na pc yenye uwezo gani ili kufanya graphic designing kwa cs4 au cs5? natanguliza wingi wa asante hata kabla sijajibiwa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je wajua Kua Hutokea Mara Moja Kila Baada ya Miaka 824

    mkuu nyabhingi hupendi kwenda kazini?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari ( tv na radio) vya leo VINAKERA.

    Jaribu radio tumaini hawana uroho wa matangazo.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ndicho kijiji ambacho kipo katikati ya nchi ya Tanzania

    Asante kwa taarifa.
  11. N

    JamiiForums Tanzania The best novel

    Mkuu Hiyo ni novel au movie? Hebu tuweke sawa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwinyi na Michael Jackson

    "Welcome king of pops to Tanzania,please feel at home!" "Thank you Mr.president it is my pleasure to be here......"
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa muungano imara tuwe na rais mmoja,bunge moja na serikali moja.

    United States of Tanzania ( UST)
  14. N

    JamiiForums Tanzania Picha; hizi ndizo barabara za hatari zaidi duniani, tazama...

    Kwa hapa Tz barabara hatari zaidi ni ile itokayo chimala Mbeya kuelekea Matamba barabara hutoisahau lpo kwenye mlima mkali madereva waliowengi katika mji kama Dar hawawezi kupanda mlima huo,una kona 52,kona maarufu zaidi imepewa jina inaitwa Mwadangala Nikona ambayo ukiwa na roho nyepesi inabidi...
Back
Top Bottom