habari wana jamvi,kw wale wakazi wa Dar watumiayo morogoro road polen kwa foleni.
. kuandika hoja hii kutokana na yale niyaonayo kwa macho yangu.
kwanza, matumizi ya malighafi.pita uone jinsi zege lilivyotupwa,jinsi matofali yalivyo vunjwa bila tija.uthibitisho upo kipande cha kimar ubungo..
pili,nikuto fanya kazi kwa mipango.fikiria walivyo anza kwa bwebwe pale kmara had ubungo lakin sasa hata reflector huon na sasa wmeenda chimbua magomeni.kwa nini msimalize sehemu moja ndipo mwende kwingine?
nihayo tu[ml/QUOTE]mkuu huo mradi unacover umbali mdogo wa barabara ukitaka wafanye kwa vipande utakuwa umewapa kazi isiyotekelezeka kwasababu
itabidi barabara ifungwe ukizingatia kwamba hakunanafasi ya kuwek barabara za mada (diversions)*nnyumba zilizo kando hazijatolewa wala nguzo za umeme pia bado zipo.mkuu pia umezionea huruma njia za maji zikibomolewa na matofali yakiharibiwa,kwa ufahamu wangu mradi huu ni wa kujenga barabara mpya siyo kukarabati na kutumia material za zamani mie siotaona ajabu daraja la manzese likipigwa chini na kubadilishwa umbile lake kuwa kifusi na chuma zake kupimwa kwenye scrapes huo ndiyo ujenzi.