Recent content by NKUTO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli unataka ‘ Uthibitisho ‘ gani tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Ndugu Makonda ni ‘ Bomu ‘ hatari unalolifuga?

    Kila kitu kimeingia siasa, huku mitaani Kila siku tunataniana kuhusu wachaga kupenda pesa, wapare kuwa wabahili, wasukuma kuwa ni washamba,wangoni kuwa wanapenda "chini",n.k. lakini huwa sio issue ila leo kasema makonda, dunia nzima inaaminishwa kuwa ni ubaguzi, askofu nae kwa chuki zake nae...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio song II gook ( Jumong).

    Lobyst
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Hatakiwi kukosa majibu kama alivyokosa malya kipindi kile cha kwa Chacha akafanya bosi mkuu kuumbuka kwa kukutwa na hatia wakati yeye alikuwa anamtetea,hivyo huyu nae amekwenda kufundishwa majibu ili asiharibu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Kumsaidia Tundu Lissu Matibabu Nje ya Nchi

    :(:(:(:(:(:(:(:( Serikali imegoma!!!!!!?????
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hata kama siyo wao, watu wataamini ni wao tu!!

    Hivi yule mwana Chadema aliyepoteza maisha ya Chacha Wangwe kwenye ajali yuko wapi baada ya kutoka jela,hivi alitumwaga na ccm au serikali!!!!??? vipi wale waliokuwa wanatuhumiwa kutaka kumuua Zito nao walitumwa na Ccm au serikali!!?? je wale waliokuwa wanaelezwa kuwa walitaka kumuua Dr Slaa nao...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

    ''TKO'' WEATHER IS A WINNER
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Nashauri pia mali zote za CHADEMA zizuiliwe ikiwepo na ruzuku zake mpaka siku MBOWEatakapolipa madeni anayodaiwa serikalini na pia CHAMA kitakapomlipa MBOWE pesa anayoikopeshaga wakati wa kampeni.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya deni la Stirling Civil Engineering Ltd

    John Magufuli From Wikipedia, the free encyclopedia Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 5th President of Tanzania Incumbent Assumed office 5 November 2015 Vice President Samia Suluhu Prime Minister Kassim Majaliwa Preceded by Jakaya Kikwete Minister of Works, Transport and Communication In...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iseme ukweli, ni wanasiasa gani wamekwenda Canada kuzuia ndege?

    Siwachukii kabisa,ila miongoni mwa vitu vinavyonikera sana ni kuona wale waliosoma sana wanatumia ujinga wetu sisi mambumbumbu kutuweka katika hali ngumu ya kifikra na kimaisha,tulishakubali kuwa huko nyuma tulipigwa either kwa kujua au kutokujua kulikosababishwa na wasomi wetu wa wakati...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iseme ukweli, ni wanasiasa gani wamekwenda Canada kuzuia ndege?

    Kwani mkishatajiwa hao wanasiasa mtakubali?? au mnajikosha tu ili muonekane hamuhusiki,mlijuaje kama waziri alienda canada kwa ajili ya bombadier? tunajua lengo la lissu sio kutupandikizia chuki kwa serikali ila ni kwa anaeongoza serikali yaani Magufuli. Bahati yenu sipandagi ndege,ningekuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Huduma na matunda Walibya waliyopata enzi za Gadaffi

    Ah, hivi hizi dola dola mnazoziandika ndo hizi hizi tunazozigahamuu wotee au kuna aina nyingine ya dola mnazomaanisha, dola 5000 ni milioni kumi ujue !!?? Dola 50,000 ni milioni miamoja !!?? Ndo hizo unazomaanisha au tofauti, kama ni hivyo basi huko ni peponi !!??
  12. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

    "INNA LILAHI WA INNA ILAYH RAAJIUUN" (SISI WOTE NI WA KWAKE NA KWAKE TUTAREJEA) Pole sana mzee Mwakyembe.mungu akutie nguvu,MBELE YETU NYUMA YAKE
  13. N

    JamiiForums Tanzania CCM imemaliza kazi - Chadema imeisha!!

    Jpm ni wa wapi!!??
Back
Top Bottom