Huyu ndio song II gook ( Jumong).

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,962
Niaje niaje wakuu.

Huyu hapa kipenzi cha mashabiki wengi wa Tamthilia za Kikolea hapa Bongo na duniani kwa ujumla.

Jina lake halisi analiandikaga hivi (kwa herufi za kiingereza) Song II Gook lakini pia waweza kuandika hivi Sung II Guk, Sung II Kuk ni mkatoliki na jina lake la ubatizo ni Paul.

Kazaliwa October 1, 1971 (44) huko seul Korea kusini,na ni muhitimu wa chuo kikuu cha cheoungju university mambo ya sanaa, pia amemuoa mwanamama ambaye ni Jaji wa Mahakama kuu wa jiji la Busan na wana watoto watatu ambao ni wakiume na ni mapacha. (sijui kama ni sahihi kusema mapacha watatu) Waliowapata mwaka 2012 na majina yao ni,Song dae-han, Song min- guk na Song man-se.

Mpaka sasa Song II Gook keshacheza Tv series nyingi sana film na live show na pia kesha zawadiwa tuzo nyingi mno.

Kwa uchache hizi ndio Tv series alizocheza, wewe hebu ongezea:-

Did we really love ?? - 1999.
Goodbye my love -1999.
.............
.......................
...........
..........
.........
...........
Bodyguard - 2002.

Na sasa ana kitu kipya cha 2016 kinaitwa.
Jang - yeong sil - 2016.
images
images
images
images

Haya kazi ni kwako kuongeza unayoyajua kuhusu huyu jamaa,pamoja na kazi zake.
 
Kikolea=Kikorea
 
Oprah ya Kanumba
 
Back
Top Bottom