Recent content by Nkurukuru

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yanga wadai walipuliziwa dawa ya usingizi

    Wamepigwa kihalali hata asiyejua mpira aliona walivokatika kuruhusu goli la aibu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

    Ukawa hawana mpya, wamegeuka watetezi wa majizi na matumizi ya hovyohovyo bila kujali maisha ya wanyonge.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Mie cjamuelewa Mbowe kwenye kipengere cha ubadilishwaji wa matumizi, inamaana yeye anapinga hata ununuzi wa madawati na upanuzi wa barabara kwakutunia pesa walizopitisha bunge lililopita kwa mambo yakipuuzi? Je hizo sherehe zilikuwa na na natija yoyote kwa maskini?
  4. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Lakini, mie binafsi cjaona nafasi ya hao Haki za binadamu katka kutetea haki za wanyonge zaidi ya kujiingiza ktk siasa. Wajisahihishe na wao na nyumbu wote muwe na msimamo sio kupinga wizi na kutetea wizi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Shavu hilo, du sometime unaaa mzuri at
  6. N

    JamiiForums Tanzania Umoja wa maaskofu Zanzibar wakanusha kuhusika na barua ya Maalim Seif Sharif Hamad kwa papa Francis

    Hata Escrow walikuwemo! Sishangazwi nalo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Haki ya Msingi ya Kusikilizwa kwa Anne Kilango Malecela!

    Hata yeye hakuruhusu wala kuonyesha haja yakusikilizwa mheshimiwa Lowasa wakati wa sakata la Richmond, acha atumbuliwe tu maana anakiherehere sana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango kupangiwa kazi nzuri zaidi ya ukuu wa mkoa

    Magufuli hafanyi kazi kienyeji kiasi yakuruhusu kuvuja mipango yake ya ndani kabla ya wakati. Hizi ni fikra za mtu tena zinamtosha mwenyewe
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Wamemnyooosha , maaan wakati wa Richmond alionyesha muwasho hadi Mzee wa ukawa akajiuzuru.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Diamond katoboa pua?

    Wanaume wa Dar kweli noma, Mara maji mengi hereni nk bado kuolewa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ben Pol anyoa ndevu kuogopa kuitwa Al-Qaeda na Wamarekani

    Añatafuta kiki, mbona Rick Rose hajaitwa Alqaida? Bob Marley Senzo nawengine wengi hawajawahi kuzulu US? Upuuuuuuuzzzz
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

    Kibongobongo mawaziri wastaafu heshma yao hutunzwa hata kama alikuwa mdokozi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wabunge wengine waikubali bajeti, waipongeza

    Upinzani sio kupinga kila kitu wala kujenga uhasama, nampongeza Mbowe kwakuwa mkweli tofauti na Mchungaji
  14. N

    JamiiForums Tanzania DC wa Iringa, Richard Kasesela, awatia ndani waandishi wa habari kwa kumwigiza sauti yake redioni

    Je alichokifanya kinakubalika kwa mjibu wa sheria? Wanasheria mtusaidie coz wimbi la ukandamizaji wa vyombo vya habari na waandishi kila mara tz linachukua sura mpya
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Punguza jazba yakhee
Back
Top Bottom