mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Watanzania tubadilike .Viongozi wa Yanga baada ya kutua uwanja wa ndege Leo wamekuja Na rundo la utetezi eti wachezaji wao walipuliziwa Dawa za usingizi.Nilitegemea kuwa kama hilo lilifanyika nilitarajia Yanga wasingecheza mechi ile kwani wachezaji wangekuwa wameathirika Na kusinzia uwanjani.Badala yake tunasikia Yanga imecheza mpira mzuri.Wadau tunajiuliza iweje wapuliziwe Dawa halafu wacheze vizuri?Kauli za hao viongozi in visingizio .Ni vema tukakubali kushindwa .Uongo haufai hats Mh.Magufuli alimtungua Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Kwa kusema UONGO.