Umesema kwani sisi tuna roho ya barafu ndyo nimetoa hapo mfano ndoa nyingi tu mababa wanalea watoto siyo wao juzi tu hapa kule Mbeya kuna kijana kajinyonga kaishi na mama na mtoto mwisho wa siku anaambiwa siyo mtoto wake
Hawa jamaa udini unawasumbua sana ni watu hatari sana huyo Samia kachangia mara ngapi ujengwaji wa makanisa mwaka jana alichangia nadhan inafika milioni mia moja kanisa la Anglican hawa jamaa tuwe nao makini sana
Huyu wangemuweka gereza moja na yule Khamis wa kigamboni halafu yule Khamis nilisikia atatoa kitabu wangeshirikiana na huyu nazani wangetoa kitabu bora tungepata mafunzo kutoka kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.