Kila aliyepita singa, he is proud of the school,nakumbuka mgomo wa 2002, mpaka riafande moja likajeruhiwa, nakumbuka Mr kamungo akifundisha Integration(math), and phy, sijaona mwalimu kama yeye!!!, Elifuraha alisha staafu yuko dar sikuhizii, yule jamaa wa kiinglish cha ajabu(magambo) bado yupo...