Awe vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Awe vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by N12345C, May 26, 2010.

 1. N

  N12345C Member

  #1
  May 26, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :confused2:Ivi akina dada, ni vipi mnataka mvulana awe? and for men ni vp mnataka msichana awe?

  sina uzoefu sana, ila nachojua kuna zile tabia ambazo ni common wasichana wanapenda vilevile kwa wavulana.Wana JF naileta kwenu maana mi kichwa kinauma.  HI TO ALL
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mi nataka msichana wangu awe kicheche, mchawi, mchoyo, mchafu, asiyependa wageni, mwenye majungu, matusi, gubu na kila tabia mbaya.
   
 3. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hilo jina lako mwenyewe nimekubali.............
   
 4. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ili iweje Mkuu?? Lazima kuna sababu! na siku hizi type hiyo hawapo.
   
 5. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  LOL hapo mkuu nimekubali.....sasa hapo uko serious au unataka tu-negate hiyo kitu au unaonesha kwamba ni obvious!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
 6. Shostito

  Shostito Member

  #6
  May 26, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi sipendi mwanaume anaye nichunga kama mtoto.
  Mara apekue simu yangu, nikipokea simu yeye apata hofu.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Basi kumbe wewe hunifai.
   
 8. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwani we ungependa awe vipi? hata kwa uzoefu wako mdogo lazima una preference
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :hug:haaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!! haaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
  minampenda mwanaume mwenye kunuka mdomoi,kikwapa,
  afui boksa anvaa wik nzima,
  mwenye kuchek chek simu yangu ol da tyme,haniruhusu ata kwenda kwenye kipeimara cha mdogo wangu ye wivu tu,
  mwenye kunipiga,kunisema ta nikichelewa kuandaaa msosi,
  anayetaka gemu mara tano kwa siku,
  kanisan/msikitini apajui,
  bongolala yani isnt director,advisor,collegue,frend of mine,yan nkipata matatizo msaada nkautafute ukoooooooooooo,
  ana kazi nzuri lakin ada za watoto atoi,chakula anunui, ata kuzuga na vijizawad vya buku akuna......yaan lipolipo tu........tusaidian domestc
  expense,mleeeeev sana,
  ana mademu nje kibao..........
  caring,handling ni f ova W!!!!!!!!

  NOW BROO IZ YA TURN
  KM UNA AKILI NZURI THEN U KNW what i mean
  make t vicevsal na maisha yatakuwa bora
   
 10. Shostito

  Shostito Member

  #10
  May 26, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini sifai mpendwa.
  Namaanisha sipendi mwanaume mwenye wivu wa kupindukia kiasi kwamba anakuchunga kama mtoto.
  Au weye ni mmoja wa hao wanaume nnaowasema?
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa jinsi ulivyo, inabidi
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kaaazii kweli kweli..
   
 13. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  and vice versa is true!!!!!!!!!!
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Mwanaume lazima awe na wivu wa kupindikia kwa mkewe/mpenzie
  Mwanamke ni lazima achungwe kama mtoto
  Mimi ni mwanaume mwenye sifa hizo za kiume.

  Unaona? wewe utakuwa hunifai.
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ha ha ha safi sana hizi sifa ni nzuri na mbadala sana
   
 16. N

  NKUBA Member

  #16
  May 26, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  :hug:kila mtu anajua standard zake ambazo anataka mwenza wake awe nazo, bt wanawake hupenda sehem yenye usalama:angry:
   
 17. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kitu personnal sana hiki, but kila dume au jike ana vitu vyake anavyopenda.
   
 18. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We mbona hujiamini kama humfai huyo bwana haina maana huwafai watu wote unaniangusha hivyo shosti!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Do u really mean it??
   
 20. N

  N12345C Member

  #20
  May 26, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimewapateni dada Rose(unajina la dada yangu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) na Sumbalanyiro, BIG UP. lakini mi nilikua nataka zile deep and love oriented. Rose (1980) ndo mwaka wako wa kuzaliwaaaaaaa?
   
Loading...