Recent content by nkomelo

  1. N

    Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Post zako zote ni majungu majungu tu, hunaga issues yaani wewe muda wote unaongelea watu tena kwa chuki tu. Unafanya jukwaa linaloheshimika watu waapuze kusoma. You are too mean, too childish and irretional at all. Hata unavyoandika huna utulivu na bando lako unalitumiaje kwa udaku udaku...
  2. N

    Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

    Wewe huwezi kuona na hata ukiambiwa katu kuelewa huwezi kwasababu unachuki na huyu bwn. Ongeza chuki, mseme kila thread ufurahi, andika kabisa, mtukane hadi akome. Ila ujue mimi nimechimba madini kwa miaka sasa kijana huyu na mnayoandika hayana mfanano nao.
  3. N

    Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Yaani umeona hili ni jukwaa la kusambaza majungu yako. Kila ndama anyonye kwa mama yake.
  4. N

    Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

    Ninachofahamu mzila kende ni mwiko kwake kugusa huyo nkende, sasa wewe unasema ni rafiki wa kende......kajipange tena
  5. N

    Kwa Mchezo mchafu unaosukwa, UKAWA wasishangae 2020 wakabakia na wabunge watatu (3)

    Kwani Kosa la Nasari ni lipi? Ina maana ukipongeza tu umekua msaliti? Tunahitaji kikombe kingine if this is our thinking. Thus why Mbowe alishambuliwa sana alipomfagilia JK sometimes back. Niliona mapovu yasomithirika, leo Nasari alaumiwe kwa jambo jingine si hili.
  6. N

    My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Makonda anajitahidi kuliko wakuu wa mikoa wengi tu! Nadhani tuache chuki binafsi
  7. N

    Rais John Pombe Magufuli tunaomba msamaha

    Kama tunafikiri kwa namna hii basi we still have a long way to go. HOWEVER Poleni sana kagera
  8. N

    Wanasheria wajadili escrow kwa siku tatu mfululizo

    Haya mbona hata uchaguzi ulopita yalikuwepo na majamaa yakapeta tu?
  9. N

    Magufuli aagiza Stendi isiyo na kibali cha SUMATRA itumike. Adai hakuna cha SUMATRA, yeye ndo boss

    Nadhani muhimu ni kama anapambana kuondoa kero kwa wananchi
  10. N

    Lowassa kwenda vita ya Uganda alikuwa kama nani?

    Vyovyote vile ila alienda hilo ndo mhimu
  11. N

    Magufuli bado hajanishawishi

    Hutashawishika daima dumu!
  12. N

    Mweka Hazina wa CCM Iringa, aukwaa Ubunge Viti Maalum CHADEMA

    Halafu unawaacha waliohangaikia chama muda mrefu kwa rasilimali zao....Mimi ukweli sijapenda
  13. N

    Waziri Lazaro Nyalandu ajibu tuhuma za Mbunge Joshua Nassari

    Halafu alimtaja Aunt Ezekiel huku akijua dhahiri binti wa watu hawezi kupata nafasi ya kujitetea bungeni. Sikuipenda kabisa
  14. N

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    Naona ndg una mimba ya ccm! sasa katajwa Kimei wewe tayari unatafuta kuitaja tu ccm. subiri utajifungua soon
Back
Top Bottom