Lowassa kwenda vita ya Uganda alikuwa kama nani?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
wakati wa maandalizi ya kampeni lowasa anadai alikuwa kwenye vita uganda.
nauliza alikwenda kama nani? mwanajeshi mgambo polisi shushushu komandoo au dereva.
mwenye kujua aje atujuze
 
muwongo anatudanganya watanzania kujifanya alipigania nchi.
labda alienda kupiga dili la pesa
 
Vyovyote vile ila alienda hilo ndo mhimu

Walienda ukaguzi na mwenyekiti wa chama baada ya kumalizika kwa vita,waliongozana na baadhi ya viongozi wa chama akiwemo bibi titi,lkn hakuenda kupigana.
 
wakati wa maandalizi ya kampeni lowasa anadai alikuwa kwenye vita uganda.
nauliza alikwenda kama nani? mwanajeshi mgambo polisi shushushu komandoo au dereva.
mwenye kujua aje atujuze

Hivi tujadili hoja ya kipuuzi kama hii ili tupate nini? Divisions five za JK utazijua tu
 
Vitani mchezo nini, acheni bhana mambo yenu. ..aweke pic zake basi akiwa ndani ya kombati tuone.
 
Alienda kukagua vyoo si unajua mambo ya mzee nya haro anavyopenda kutalii kwenye vyoo kama kule geita.
 
Walienda ukaguzi na mwenyekiti wa chama baada ya kumalizika kwa vita,waliongozana na baadhi ya viongozi wa chama akiwemo bibi titi,lkn hakuenda kupigana.
Bibi Titi tena? Aidha ulikuwa haujazaliwa au ulikuwa mtoto mdogo wakati huo. Baada ya kutuhumiwa na kesi ya uhaini 1969 na kuachiwa huru kwa msamaha wa rais 1972, Bibi Titi hakujihusisha tena na siasa hadi mauti yalipomkuta mwaka 2000. Najaribu tu kuweka sawa mambo.
 
alienda kama askari, Lowasa ni luteni mstafu wa JWTZ.

hakukaa sana jeshini aliamua kwenda kwenye siasa ambako kuna dili za wizi na kama kawaida hakufanya makosa mpaka leo amekuwa baba wa ufisadi Tanzania.
 
Wakati mwingine tujadili mambo ya msingi kwa sasa kwa ajiri ya Taifa letu. Mamvi wote tunamfahamu kazi yake ni kupiga dili ,vitani atakwenda kufanya nn!
 
Sasa ajabu ni nini wakati mnafahamu kuwa Lowassa ni Kapteni mstaafu wa jeshi? Au mlidhani alikuwa kapteni wa meli au timu ya mpira?
Kwenda vitani ni jambo la ajabu?
Mbona mie Chakaza nilikwenda mwishoni mwa 1979 nikiwa kama serviceman ndani ya JKT tukiwa Vijana wadogo na machozi yakitulengalenga kwa hofu na Leo naona ni kitu cha kawaida?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom