Recent content by Nkolandoto

  1. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu ulanguzi wa tiketi za mabasi ya mkoani unaofanywa na mawakala

    Nauli halisi ya kwenda lindi ni kiasi gani bosi natamani one day nisafiri huko
  2. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

    Sikuzote zuia moyo wako kupenda kitu kiitwacho mwanamke Tena zuia moyo wako kumpenda mwanamke
  3. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Kuongoza watu uliowazidi umri

    Unatakiwa kurofautisha 2s Uongozi Utawala Kiongozi maana yake uonyeshe njia, kwanza uweze kufanya wewe na wao wakufuate Kikubwa hupaswi kuwa mtu wa majungu kabisa kiongozi ni mtu anayesikiliza sana majibu ya changamoto zote wanazo unaowaongoza tumia muda wako sana ktk...
  4. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Wanaupende humu wengi sana kila asiyependa hii vita ni mpinde tu
  5. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Kwanini loan takeover kwenye ESS haifanyi kazi?

    Hiyo haipo active nadhani wanapasenti yao ndiyo maana wanaibana Nenda kule ulikokopa ukaombe kujua ulipe ngapi wao wanayo access hiyo Utaandika barua utasubiri kukubaliwa then ndiyo ulipe Hovyo sana
  6. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Laki tatu za mahitaji ya nyumbani watu wawili inatosha kabisa Na unasevu vzr tu Kama ungejua hujajipanga ungepigia mfuko lkn kama ulikubali ulie peku Mpokee uishi naye
  7. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

    Huyu kashaanza kuwa kichaa, utawaelewaje watu ambao wao wenyewe hawajuelewi 🤪🤪🤪🤪 Nashindwa kumwelewa 😂😂
  8. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna wanawake watamu kuzidi kabila la wanyakyusa?

    Utamu wa pipi ni mate yako😂😂😂
  9. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Boda hapa angegongwa mngechoma moto?

    Uhuni tu huu
  10. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania WANAYANGA MSIJE KUINGIA MTEGO WA MAKOLO KUHUSU MANQOBA MNGITHI, CHUKUA HII.!

    Yanga bingwa
  11. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

    Hizo tambo zishaisha babu . Fanya kama unajikuna tu 🤣 Ukitulia huku huku panaachia acha njau Mipasho wanaipenda sana mpaka wana mis 😜😜😜
  12. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Kidoo: Wanawake tukiomba tendo tunaonekana wahuni

    Sasa hiyo nayo yakuleta huku Wewe tangu uchumba hujawahi kuomba ghafla unaomba lzm akuterm we malaya Sema tangu mwanzo kuwa ukiomba leo kesho na wewe unaomba Hapa inakuwa muombano kwenda mbele Hivi ushawahi kumwinbisha mwanaume akakuekewa wewe 🤣🤣🤣
  13. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania real mumy ndiyo mke wangu mtarajiwa.

    Wanaume wamezidi kupungua kwa kasi eti nao uzi huu wa kiume kabisa Yaani mwanaume ameamua kuandika uzi anakomea ngonjela 😜😜😜😜😜 Kuna uhitaji wa darasa huru zaidi
  14. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Demu mwenye makalio makubwa akifa mwili wake huoza haraka sana.

    Heee kwa nini mwanamke tu wanaume hawapo 😜😜😜😜😜 Siku hivi vitoto vya alfu mbili vinabwabwaja sana
  15. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Wanaume wanaolalamika lalamika tu jua wanataka kuleft group 😜 Unalalamikaje mwanaume Ngoja sie tupozi akilibga anatongozwa mwingine anagongwa 🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom