Recent content by nkinga mpya

  1. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania YA NDANI KABISA: Ahadi ya Kampuni ya Silent Ocean kwa Prisons FC ikiifunga Yanga au ikitoka Sare ni ya Kuzuga tu

    Wewe jamaaa huna akili kbsa. Popoma kama popoma.
  2. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    [emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo hao hao kipindi cha Magu walisema tujifukize leo wamegeuka wanasema tuvae barakoa[emoji23][emoji23] Kweli wanalisaidia taifa
  3. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Sasa huo usomi wako unakusaidia nini Kama hata hujui cha kuisaidia nchi yako?
  4. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Cheti chewewe alinunua
  5. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Wanataka wapewe nafasi na nani? Je wapo jela? Walinyang'anywa ardhi? Waliporwa elimu yao? Emu ongea Kama mtu anayejua anachosema
  6. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Hilo suala la vimada na wanawake wanne ni maisha yake binafsi tujikite kwenye mada.
  7. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Bilashaka huyu ni HK[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Wasomi wengi ni wakujiita tu wasomi kwasbb walitunikiwa vyeti lkn hawana impact yyte linapokuja suala la kuisaidia nchi.
  9. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

    Pole lkn jua tu kuwa ndiyo mambo ya dunia yalivyo tafuta mwingine
  10. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Bado tu hujaona kuwa hao wanaojiita wasomi wanajidharaulisha wenyewe kuajiriwa na darasa la saba?
  11. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Wanatuchanganya hawa nao
  12. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Kwani kila siku anaokota dhahabu? Mtazamo finyu sana huu! Alichimba dhahabu pengine akapata mara moja au mbili lkn akaweza kuendeleza huo mtaji alioupata kupitia dhahabu huo pia ni uwezo si jambo la kubeza. Au tuseme Kama kuokota dhahabu ni rahisi hivyo kwann hao wenye vyeti wanaojiita wasomi...
  13. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Siyo wasomi sema wenye vyeti ni wengi kuliko wasomi hapo itakuwa sahihi, hao wenye vyeti nediyo wanao sababisha wasomi wadharaulike.
  14. nkinga mpya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu spika wa seneti afukuzwa kama mtoto

    Unasikia kutoka wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. nkinga mpya

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

    Hiyo kinyerezi ||| amejenga baba yako? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom