Recent content by Nkandi

  1. Nkandi

    Degree ya Fine Arts ya UDSM inaweza kubuni art level za Diamond Platnums?

    Wasomi wenyewe wanahofu na matumizi ya taaluma zao. Theatre na performing Arts...ni nzuri sana hasa kwa wale wanaoiona kwa jicho mbadala. Mfano Arts Directors wengi duniani wamesoma "Performimg Arts, Theatres and Set Designs" kwakuwa zinahusiana. Hapa kwetu unakuta kwenye kazi za sanaa mfano...
  2. Nkandi

    Msaada: Kuagiza vitu toka China kwa njia ya mtandao

    Utajua kupitia alama iliyoandikwa 'verified supplier' kutegemeana na level. Verified suppliers ni safe kumtumia kuagiza mzigo.
  3. Nkandi

    Msaada jamani: Nifanye nini ili niwe naongea English kwa ufasaha

    Lugha yoyote duniani unaweza ijua kwa njia kuu zifuatazo; Kusoma,Kusikiliza kuandika na Kuzungumza.Hii huwa rahisi zaidi baada ya kujua zile 'basics' za lugha husika. Lazima usiwe muoga kuzungumza ili kuweza kujua usahihi wa namna maneno yanavyotamkwa...maana katika kuzungumza utaweza rekebishwa...
  4. Nkandi

    Namna ya Kuanzisha na Kufanikiwa katika Biashara

    Yapo mengi Mkuu, labda ingekuwa vyema ungeweza kuuliza ili tujadiliane kwa kina
  5. Nkandi

    Dawa ya kitambi hii hapa

    Njia rahisi yakupungua ni kuepeka kula vyakula vyenye fats, Carbohydrate na sugar... kuna diet ya chakula ambayo inafanya kazi sana ya fruits tu.... for weeks... maji ya mdalasini, matango yaliyoloekwa kwenye maji, green corns, nyama hairuhusiwi... ni diet ya some weeks inakata weight sana...
  6. Nkandi

    company registration msaada

    Unataka Limited Shares in Capital au Limited Shares by Guarantee? Maana zinatofauti ndogo katika usajili wake.....hasa namna memart inavyoandaliwa!
  7. Nkandi

    Wale waliokuwa wanasema Muhongo kakosea kuhusu mitaji ya gesi kwa wazawa waangalie Star TV kwa sasa

    Nadhani suala la wao wanapatia/watapatia wapi si jukumu lake,watakao amua kuwekeza katika sekta hiyo watajua watakapopatia pesa hiyo, kimsingi alikosea kukejeli wazawa kwakuwa yeye aliona 'mtaji' kwa mtazamo wake haupatikani...yeye kuona haiwezekani,si kwa wote ati.......Alikosea Mhe. Waziri na...
  8. Nkandi

    Fundi wa kusmamia nyumba adi itakapoisha

    Wanajamii, katika pita pita zangu za kutafuta teknolojia ya kisasa ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu,nimekutana na hiyo teknolojia....iangalie,inaonekana ni nafuu....
  9. Nkandi

    Msaada wa kununua simu kutoka china

    Kitu muhimu kwa sasa hakikisha kuwa supplier unaye deal naye ni wa uhakika kwakuwa kumekuwa na matapeli sana china katika online business, search jina la hiyoo kampuni katika scammers/google kama iliwahi kulalamikiwa utaona...kitu kingine ni namna ya kulipa,unaweza tumia Western Union, TT,Pay...
  10. Nkandi

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Kigwangalla mbunge kijana ambaye huwa simwelewi kutokana na namna anavyo 'act' huwa nakosa jibu kwakuwa huwa sielewi anakuwa 'drived' na itikadi au nini!.Niliwahi kuona post yake katika facebook aliandika...anashangaa watu wanaposema nchi hii masikini wakati alipotoka kuangalia movie na familia...
  11. Nkandi

    Ni dhahiri CCM wako under great pressure kuhusu katiba

    Katika vitu vigumu vinavyowakabili viongozi wengi ni kushindwa kuwa na 'akili za kidemokrasia' wanataka kusujudiwa,kuambiwa vitu tofauti na mitazamo yao ni uadui mkubwa......Chama chochote kinachotawala katika nchi yoyote kinaweza kuangushwa kama kitaonekana kinapuuza hoja za msingi na kutumia...
  12. Nkandi

    Mbowe atolewa nje ya bunge

    Kiongozi makini yu tayari kusikia asichotaka kusikia,uvumilia sana na kutumia busara zaidi kuliko mamlaka yake kuongoza.....kuna kazi kubwa sana ya kupata viongozi bora na sahihi...binafsi namwona Ndugai kukosa sifa za kuwa kiongozi mwenye kuweza kuunganisha makundi yenye mtazamo tofauti bali ni...
  13. Nkandi

    Sugu anatafutwa na Polisi Dodoma ...Amefunguliwa faili na Askari Polisi

    Inawezekana Polisi wanapewa bajeti ya kutosha kushughulika na siasa zaidi kuliko ulinzi wa raia na uboreshaji wa mazingira yao ya kazi...tunakazi kubwa sana hakika kuijenga Tanzania tuitakayo!
  14. Nkandi

    Maoni na Msimamo wa Baraza la Katiba la Wasanii

    Msanii, Napata mashaka kama uwep wa sheria ya hati miliki umewafaidisha sana wasanii maana wanalia mno kuhusu kuibiwa kazi zao,hii inadhihirisha kuna walakini....kwa upande wa stika katika kazi za sanaa naona sekta italasimishwa kwa upande wa serikali kwa kuwa naona stika hizo zitauzwa kama...
  15. Nkandi

    Maoni na Msimamo wa Baraza la Katiba la Wasanii

    Naomba kufahamishwa zaidi,wasanii ndiyo walipambana kuleta sheria ya hati miliki peke yao ama? Pia uwepo wa sheria ya hati miliki,wasanii wamefaidika kwa kiwango gani tofauti na wakati haikuwepo? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom