Inawezekana kabisa ndugu. Ninao ushahidi wa kutosha. Kisayansi, mwanamke akiwa kwenye ovulation, huwa na ute mwepesi na laini sana. Ikiwa atagusana na mwanaume ambaye haja du siku nyingi, akiachia sperm huwa zinakuwa na speed kali sana, hivyo kwa bahati zikakutana na ule ute laini, midhili ya...