Mtoto kuota meno mapema

zaka

Member
Mar 8, 2012
30
3
ndugu wana jf vp kama mtoto ameota meno kwa wingi molars na premolars ndani ya mwaka
hadi wa pili kasoro je ni abnormal condition??
 
ni kawaida ndugu.

Kuna order ambayo meno yanatakiwa kuota likianza lipi katika muda gani la litafuata lipi katika muda gani. All babies are not equal, na pia inategemea na wingi wa zile dawa wanazopewa wajawazito mama ametumia kiasi gani.

Mfano hai, Mimi nina binti wa miezi 11, alitoka meno mawili ya chini alipokuwa na miezi 8 Normal order), halafu wiki 3 zilizopita ametoka Lateral Incisor ya juu yote mawili kwa siku moja, kabla ya kutoka Central Incisor (which is normal) i did some research na kugundua ni kawaida, hakuna tatizo.

For your case, I have a friend of mine yeye ana mtoto wa miezi 8 sasa, ameshatoka meno yafuatayo chini na juu

1. Central Incisor
2. Lateral Incisor
3. Cuspid
4. First Molar,
5. Jana ananipigia na kunisimulia kwamba fizi zimemvimba mtoto wake inaonekana Second Molar yanataka kutoka.

Kwa hesabu ya hapo juu, kama yataota na hayo ya tano, ina maana atakuwa ameshaota meno yote anayotakiwa kuota mtoto kasoro mono manne tu ya mwisho (First Permanent Molar). Huyu ni ktoto wa miezi 8, wakati wa kwangu anamiezi 11 kuelekea mwaka anameno 6 tu hadi sasa.

Lakini hata yeye alipoenda hospital aliambiwa ni kawaida haiona shida.

Hope wataalamu watatueleza kwa undani zaidi hapa
 
Naomba niungane na mtoa mada kwa kuuliza, nina mtoto wa miezi tisa, ila hajaota hata jino moja, hili nalo ni kawaida?
 
Back
Top Bottom