Recent content by Njoo tubishane

  1. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Vituko duniani

    No linda hapo[emoji4][emoji4]
  2. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mwandishi wa Raia Mwema avamiwa na kukamatwa na Polisi nyumbani kwake saa 9 alfajiri. Polisi wakana kumkamata

    Dawa yake saiv ukijiwa na polisi kwako ni kupiga mayowe ya mwizimwizi tu wewe na familia yako maana hakuna mlinzi wa wananchi hatuna imani na polisi tena
  3. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Aisee! Facebook kuna vituko

  4. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

    Mkuu cr7 umetembelea? [emoji3][emoji3][emoji3]
  5. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Nauza vocha za TTCL

    Mkuu ukihitaji nitakufanyia discount ukitaka ya elfu kumi nitakurushia ya 15 ukinipa elfu ishirini nitakurushia yote ya elfu 30
  6. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Nauza vocha za TTCL

    Husika na kichwa cha habari.. Nilinunua line ya ttcl na nikawa naitumia mtandao ulikuwa unasoma vizuri lile eneo nililokuwa naishi . sasa nimehama lile eneo na huku nilipo ttcl ni majanga mtandao mda wote emergency ..nilinunua vocha kama za elfu 30 yoyote mwenye kuzihitaji aje pm
  7. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    StarTimes mbona tv1 haipatikani kwanini? Natumia king'amuzi chenu cha dish pale kwenye receiver kuna sehemu ya kuweka frash lakini nikiweka sioni ikisoma wala kwenye menu sioni maelekezo yoyote msaada please
  8. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Michy
  9. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada namna ya kuroot simu zenye android version kuanzia 6.0.1.

    Wakuu namimi naomba msaada wa kuroot vodafone smart tab vfd 1100
  10. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Inakwenda ngapi mkuu
  11. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  12. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Aisee mwenyewe nasikitika sana sijui menejment inafeli wapi
  13. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kweli mkuu ujue hata mimi najiuliza sipati majibu unajua timu yetu kwa sasa ipo vizuri hapa kati na nyuma lakini ukiangalia pale mbele kwakweli tunafeli sana maana hata ukiangalia kwenye msimamo ktk zile timu 4 za juu timu yetu imeruhusu magoli machache sana na hii inadhihirisha devence yetu...
  14. Njoo tubishane

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mamluki on fire
Back
Top Bottom