Recent content by njoo apa

  1. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Mariam Msafiri alidanganya kumwagiwa Chai na Mumewe kisa kudai talaka. Yeye ndiye alimmwagia mumewe maji ya moto

    Naangalia mkononi kwa huyu jamaa....sijui kavaa nini..?
  2. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Gigy Money afungiwa miezi 6 na BASATA

    Akimaliza miezi sita hiyo...aje Mwanza apige shoo tena
  3. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Boxer (BM150) haifiki top speed yaani 140Km/h inaishia 90km/h

    Kiukweli wewe hujui kuendesa boda....
  4. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Maeneo wanayokula miguu ya Kuku na utumbo kuna harufu ya umasikini, kimbia hayo maeneo

    Uzi umewakera watu lakini ni uhalisia
  5. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Yanga tukatae Uhuni wa GSM huko mbeleni tutajuta

    Mkuu inawezekana usemalo ni sahihi... But. The reality is yanga wanahitaji mwekezaj mwenye pesa... Bila hilo hakuna litakalofanikiwa yanga zaid ya maneno tu... Duu umasikini unaweza sababisha ukauza hata mkeo ili usiaibike.....
  6. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Sheria Ya Utumishi wa umma

    Naomba pia sheria ya utumishi wa umma 2002.... Mshindopetson@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  7. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Je, mahari ni chanzo cha kukandamizwa kwa wanawake?

    Okkk lakin maana imeeleweka.... Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  8. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Je, mahari ni chanzo cha kukandamizwa kwa wanawake?

    Habari, Hivi mahari imekuwa ndiyo chanzo cha wanaume kuwanyayasa wake zao, nini maoni yako?
  9. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada nimechanganyikiwa

    Fuata kile ambacho unakiamini ktoka ndani ya moyo wako... Angalia future yako... Sikiliza moyo wako.... Amin kile unachoona ni sahihi lakin usisahau ulikotoka Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  10. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu akikufanyia ishara hizi anamaanisha nini?

    Mmmh em nipe namba yake kwanza...
  11. njoo apa

    JamiiForums Tanzania Msichana hanitaki lakini ananisumbua

    Muombe gem tena
Back
Top Bottom