Recent content by Njololo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Benki zadaiwa kusitisha mikopo kwa watumishi wa umma kwa muda usiojulikana!

    Baraza la mitihali nalo lina kuja na uhakiki wa vyeti, mpaka mwaka uishe huu tutatembea na bahasha utafikiri tunatafuta kazi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kova apiga marufuku maandamano ya UVCCM kesho!

    Uhuni wa POLICCM
  3. N

    JamiiForums Tanzania Pres. Mugabe falls down steps, photographers forced to delete images

    Binafsi namkubali sana.ni kati ya maraisi wachache wa kiafrika wanaosimamia misimamo yao.lakini umri umemtupa mkono achie vijana waongoze taifa yeye abakia kua mshauri itakua heshima kubwa kwake
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke awaua watoto wake wawili na kuwazika ndani

    Haya maisha yamekua magumu kwake peke yake mpaka awadhulumu watoto uhai wao?sasa baada ya kuwaua amepata unafuu gani?inawezekana kuna lingine lililomsukuma kufanya ukatili huu abanwe aseme vzr
  5. N

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Ndugu zangu waislamu ulazima wa serikali kugaramia hiyo mahakama yenu unatoka wapi ili hali mnajua haitahudumia kundi Fulani la walipako kodi acheni ubinafisi bana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mbona Huwa Vigumu Kwa Mwanamume Kusifu Mwanamume Mwenzake Kama Ni Handsome?

    Hivi unaanzaje kumsifu mwanaume mwenzio.lazima utakua unashida
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

    Kuzaa mapema kabla ya ndoa na hata katika umri mdogo n kuendekeza ngono ziczo salama.kuzaa na kuwaachia wazazi jukumu kulea wajukuu n sababu nyingne kwan wanakua hawaoni uzito na maumivu ya kulea
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yaua watu wawili Nzega

    Marehemu wote wapumzike kwa amani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watoto Mtwara Vijijini waokota bomu na kulichezea, Wanajeshi waja na kulichukua

    Nawapa pongezi wale waliogundua kile hakikua kitu salama na kutoa tariifa kwa chombo husika haijalishi kama lingeleta madhara au la
  10. N

    JamiiForums Tanzania Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    kusimamishwa kazi co kufukuzwa,binadamu hajakamilika kwahiyo kama wanatambua makosa yao wawewaungwa tu wakaombe msamaha kushindana na mwajiri haipendenzi,najua na wao wanajua kua kwa sasa wao ni maarufu lakini bado umaarufu umkuja kupitia CLOUDS Fm,mi nawapa pole sana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Zitto Kabwe Kanda ya Magharibi yaahirishwa hadi tarehe 5 October 2013

    Asante kwa taarifa,peopleeeeez
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ligi Bora Duniani

    Ni matumaini yangu ya thati kabisa kua mwisho wa juma unaenda vizuri.Basi ni vyema tudumishe amani na utulivu wetu
Back
Top Bottom