Rock City
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,266
- 505
Mkuu,Spain kuna Barca na Real, German kuna Bayern na Borussia wakati England kuna Liverpool,Arsenal,Chelsea Man u,Man city na Italy Kuna Juve,Milan,Inter na Roma.Timu zote hizo nilizotaja ni dominant kwenye ligi zao na zinaweza kukutana zenyewe na ukapata matokeo yoyote. Sasa hapo unaweza ukajua ni ligi gani ngumu kwa kuangalia ni timu ngapi kutoka kila nchi zenye ubavu wa kucheza na yeyote kati yao
Kwa Spain umewasahau Valencia na Athletico Madrid kwa sasa, watendee haki.