Recent content by njitile junior

  1. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuwa na CDF Mwanamke baada ya kustaafu Venance Mabeyo

    Mbogamboga[emoji23]
  2. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Tumewahi kutafakari hata kwa dakika moja siku upinzani ukifa tutakuwa kwenye hali gani sisi wananchi wa kawaida?

    Chama cha wananchi kipo braza,umeisahau vp CUF[emoji28]
  3. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    Soma uzi vzr. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza kuongezeka kwa wagonjwa 6 wa COVID-19 na kufikia 18. Kifo cha kwanza chatangazwa pia

    Msamehe uwezo wake wa kufikiri umemfikisha hapo,hata kuandika hajui ni zwazwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Sayansi ni zaidi ya dini; Corona yathibitisha

    Hiyo ni imani yako,ndivyo unavyoamini wewe usijaribu kutuaminisha tuamini unavyoamini wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Gereza Segerea awajibishwe. Kaaibisha Jeshi, Serikali na Nchi

    Na wasio waoga wapo hosp wamevunjika viungo. Hii haipo sawa kwamba kuvunja sheria na taratibu za eneo husika ni kiashiria cha kutokua mwoga na kutii ni uoga. Acha hayo mambo ya kutuaminisha ujinga.wangekaa mita mia toka lango la gereza na wakampokea kiongozi baada ya kutoka sidhani Kama Kuna...
  7. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Gereza Segerea awajibishwe. Kaaibisha Jeshi, Serikali na Nchi

    Labda hujaelewa vzr Hawa tayari walishatoka siku mbili kabla ya tukio.wakaungana na wanachama na mashabiki wengine kwenda kumpokea mwenyekiti wa chama akiwa anatoka gerezani. Inasemekana hapo ndipo walipojaribu kufanya fujo katika lango kuu la gereza na kilichotokea ndo hicho. Polisi walikua...
  8. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Bwana Ridhiwani mbaraka Mbona mzee wetu Mohamed said ameandika kitabu ambacho hajaacha kitu ktk historia ya Zanzibar. Unamtuhumu kwa usiyoyajua lkn inaonekana umeweka nia ya kumkosoa ndio maana hata hapo alipoandika kuwa yericko amecopy sehemu ya maandiko yake. Huulizi ameandika wapi ambako...
  9. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Hizi ni njama za kuwafuta Wazanzibar katika uso wa dunia

    Atakuwa anamzungumzia KARIA wa TFF
  10. njitile junior

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Aisee Alikua kichwa Sana huyo jamaa. Inaonekana namba zilikua hazimpi tabu sasa ilikuaje akashindwa kuzidisha na kutoa kwa mzee mwinyi
  11. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

    Suti zipo fresh tu, mambo ya vijana modo, kuna baadhi yao suit zimewakataa
  12. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Nimefurahia andiko lako la kuchekesha na panjabi zako. Kilichonifirahisha ni jinsi ulivyojitahdi kutunga hadithi na kuifanya kama tukio la kweli lkn pamoja na jitihada zote bado hukuweza kufanya ionekane si tukio la kubuni. Wewe ni pumba kuliko pumba zenyewe.
  13. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni Non secular state?

    Sema tu.KAZI NGUMU MPE MNYAMWEZI
  14. njitile junior

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni Non secular state?

    Wewe ndie mgonjwa wa akili ambae hujaelewa na husemi hujaelewa wapi?tumia lugha nzuri na ujue unachokitaka ndo mana ukawa Godzilla huwezi kuelewa.
Back
Top Bottom