Recent content by Njimba Nsalilwe

 1. N

  Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

  Umesema yote, kama wahenga walivyosema sikio la kufa halisikii dawa" "CCM NI SIKIO LA KUFA SIDHANI KAMA WANAWEZA KUSIKIA YOTE HAYA"
 2. N

  enjoyed this one...!

  This is wonderful exam. Their tutor ought to be genius. I'm sure none of them passed the exam.
 3. N

  Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

  Mkuu ahsante sana kwa shule unafiki umetuzidi tunashindwa kuelewa! Hapa watu tumekaa ki_TANU yajenga nchi wakati watu wanamahela mengi nje ya nchi. Sisi tunaimba TANU yajenga nchi. Waacheni walete hizo zitusaidie sisi watanzania kuliko kuziacha huko nje! NN
 4. N

  Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

  Kweli wadanganyika tuna kazi. Lowassa et al. (Chenge, nk) pesa wanazo tayari na ziko nje ya nchi. Swali tunalotaka kujiuliza tuzirudisheje? Phillemon Mikael anajaribu kwa kadri ya uwezo kuelimisha faida ya hili swala watu hatuelewi. Nenda Kenya, kuna makampuni Mengi mpaka mabenki...
 5. N

  Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

  Tatizo kubwa la Watanzania hatujui kuwa hatuna serikali inayoweza kukemea vitu kama hivi. Ili unielewe inabidi uwe na uwezo wa kuijbu swali lifuatalo. Mzee wa Visenti Chenge alisha sema wazi kuwa ana haki ya kumiliki hela nje ya nchi. Je alifanywa nini? Kama kiongozi wa serikali anaweza kuwa...
 6. N

  Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

  Mkuu, Kwa sasa hatuna ujanja, inabidi tujipange mpaka pale tutakapo kuwa na uwezo wa kuwajibisha. Tunapopiga kelele hazisaidii hata wale wanaotaka kuzileta hela zao wanakaa kimya. Maboutu alificha hela nyingi sana nje, leo amekufa zimebaki huko huko! Je angeitwa FISADI na akajenga majumba na...
 7. N

  Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

  Hey my dear Tanzanians, let us face it! Nchi hii imepoteza dira hili inabidi tulikubali. Sheria hakuna hapa! Ngoja niwaulize swali moja, Mzee wa Visenti, ametamka hadharani kuwa ana haki ya kumiliki vihela kidogo na hakuna mtu aliemuuliza amezipataje! Leo hii mnapoteza muda hapa wa kujiuliza...
 8. N

  Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

  The fact that has decided to invest in Tanzania, I think he should be credited for that. There are many Tanzanians who are going to be employed up there. If there is a contract between Nyumba ya Sanaa and his company, what is the problem? After all, he has not changed the use of the area only...
 9. N

  Membe awavaa wanasiasa, wafanyabiashara

  Yes amenena! Lakini swali kwani nini sasa hivi? Anamlenga nani? Uhuru = CCM? IPP = R. Mengi Habari Leo/Daily news = CCM? HAbari Corp. = R. Aziz? Why now?
 10. N

  Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

  By the way where is Aman Wal Kabourou at the moment?
 11. N

  Reginald Mengi to British investors - "I'm not part of Silverdale Farm agreement"

  Hi Pasco wa JF! I wish you all the best in everything you want to do for the interest of our nation. However, when you are ready, please do not forget to disclose your identity so that we can follow your steps or support you as a JF member. Good luck Njimba
 12. N

  Makwaia wa Kuhenga - A letter to JK and Calls for a Constitutional Reform

  Nina ngoja kwa hamu safari yake ya kwanza nje ya nchi. Anajifanya hakuna kinachoendelea lakini kila atakapo enda itabidi ajibu msimamo wake kuhusu Katiba mpya ukizingatia majirani zetu Kenya wamepata mpya. Mr. President why don't you borrow a leaf from your northern neighbour on the issue of a...
 13. N

  Makwaia wa Kuhenga - A letter to JK and Calls for a Constitutional Reform

  You are right! Na hii inapunguza uelewa wa ujumbe anayotaka watu uwafikie. Kama mwalimu wangu wa kiingereza alivyokuwa anasema kingereza ni lugha ya yenye maneno mengi sana.
 14. N

  Makwaia wa Kuhenga - A letter to JK and Calls for a Constitutional Reform

  Ni kweli kabisa serikali ya CCM imepoteza muerekeo. Hebu angalia akina Makamba na Chiligati msimamo wao juu ya vile CHADEMA walivyofanya. Hakuna hata mmoja anaeona mbali au kuona kuwa kuna hatari mbele yao. Kweli hawa ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa.
Top Bottom