Mauaji ya Tembo hasa Selou Game Reserve unaendeshwa na mtandao mkubwa hasa viongozi wa serikali, Mfano kunawatu walikamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uwindaji haramu, lakini wametolea na wanaendelea na maisha yao ya uwindaji haramu tena kwa kasi kubwa zaidi ya mara ya kwanza, ufuatilia kwa...