Recent content by Njaro

  1. N

    JamiiForums Tanzania IMEKANUSHWA: Wassira msemaji wa Chama, Peter Maduki mweka hazina, Kinana kabaki

    ZINGATIA: CCM kupitia Mtandao wa Twitter wamekanusha taarifa hii (wakimjibu Ndg. Haki Ngowi). Mjadala umefungwa ======== Taarifa ilikuwa hivi: Kutoka hapa Lumumba ni kwamba Steven Wassira anachukua nafasi ya Ole Sendeka. Peter Maduki anakuwa mweka hazina kuchukua nafasi ya Zakhia Meghji, na...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ya Dangote na aibu ya pande 3: Wanahabari, wapiga dili na mabazazi

    Sakata la Dangote limekwisha katika staili ninayoweza kuifananisha na fasihi moja isemayo "Zama Zimebadilika." Na sasa kilichobaki ni aibu kwetu-tena aibu ya pande tatu. Ukilitazama sakata hili utakubaliana nami kuwa Watanzania kwa sasa ama tubadilike na wakati au tusubiri wakati uendelee...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Saa 72 za mabadiliko CCM

    Dr. Bashir Ally ndio katibu Mkuu wa CCM. Makonda anakamata uenezi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuelekea CC ya CCM mpaka NEC, nani kumrithi Kinana, Nape na sekretarieti kwa ujumla?

    Mabadiliko makubwa yanakuja CCM ambapo Dr. Bashiru Ally anatarajiwa kumrithi Kinana. Pamoja na Dr. Bashiru mwingine anayetajwa ni Mwigulu Nchemba. Hatua hii inakuja baada ya Kinana kuandika barua ya kupumnzika. Na baadhi ya vigogo wa chama hicho kuteuliwa kuwa mabalozi. Vile vile wanaotajwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Angellah Kairuki na Mhe. Rais, kwanini mlisitisha ajira 3000 za hawa vijana masikini?

    254689763546737652226547887722337558899007754233667265226547
  6. N

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kinana, itisha kikao cha Kamati Kuu CCM kumsaidia mawazo Rais Magufuli

    Huyo ni Mbunge wa wapi ana akili finyu kiasi hicho?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Erick Shigongo ni mmoja ya wana CCM waliokopa Twiga Bancorp?

    Wakati ile Hoteli yake ya Johanessbaug iliyopo Sinza inapigwa mnada tarehe 11.12. 2016
  8. N

    JamiiForums Tanzania Barua kwako Eric wa CCM

    Safi sana. Huyu jamaa ni bonge la mnafiki. Magazeti yake ndio yalikuwa front kumtukama Lowassa kila siku. Ngoja aisome namba!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jamani Uncle Magu ndo tumefikia Huku...?????

    Magufuli kapwaya kwenye hii nafasi. Thatz the fact!..... Hali ni mbaya huku kitaa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Swissport Tanzania PLC yapata CEO mpya Mtanzania kijana

    Huyo ni kijana?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    Prof. Ndalichako anapiga kazi vizuri sana. Tafadhali Magufuli tupe Ndalichako 2015
  12. N

    JamiiForums Tanzania DC Hapi: Ajira ni aina fulani ya mfumo wa utumwa; Ashauri wasomi kujiajiri

    Hii dunia bana. Hapi tumesota naye pale Kijiwe cha Mandi, Lumumba hakiwa hana ajira. Alikuwa anatupiga mzinga sisi, leo kapata ajira sasa anatala vijana wajiajiri. Mbona hakujiajiri yeye tangu alivyotoka chuo?
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Sana sana aisee.... Wanawake ni headeck
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Kikwete wazuiliwa uwanja wa ndege

    Haya magazeti yanayoeneza chuki ni ya kufungiwa kabisa. Huo ni uongo wa hali ya juu. Jana nilikuwa na moja wa wasaidizi wa Mama na walisafiri. Leo asubui Kikwete katembelea UNICEF. Duu. Kweli Magufuli yuko sahihi kwa kusign muswada wa habari
Back
Top Bottom