Recent content by njag

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Tunaelekea kufika nchi ya ahad,msikate tamaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Update kesi ya Bandari: Majibu ya mawakili wa wananchi, waleta maombi leo Julai 28, 2023

    Kwa hizo hoja hapo czan hata mahakama inaweza ruka,huo n mtego mkubwa sana hongera sana mdude kwa kutuhabarisha vyema,tunakutegemea sana kutuhabarisha
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Updates ya kesi ya bandari majibu ya Mawakili wa Serikali na Mawakili wa Walalamikaji 27th July 2023

    Hiv wanasheria wa serikali kwel wanazijua sheria vizuri kabisa? Wanaweweseka kama vile wamepigwa na kitu kizito kichwan,nawapongeza sana wanasheria wa wananchi kwan wako katika haki na huo ndo UZALENDO WA KWEL
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

    Hatujapata updates ya leo kuhusu mkataba au ndo mmeanza kuchoka nanyi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Updates ya kesi ya bandari majibu ya mawakili wa serikali. 26th July 2023

    Wanakoswa hoja za kujib, hapo ndo patam sana, wawe wazi ya kwamba nao walijichanganya katika huo mkataba hahahahaha
  6. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Ila kwenye ukwel tuwe tunaongea ukwel tuachane na ushabiki wa vijiwen mwamba alikuwa anapiga kazi waompinga n wale wezi waliozibiwa mianya ya kuiba ndo ukifatilia ndo wanamponda mzeee
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Arusha atumbuliwe mtu

    Ninachokiamin hilo gari halikuwa na mikanda laiti hao watoto wangekuwa wamefunga mikanda nahisi madhar yangekuwa madogo sana,cha msingi tunaomba magari ya wanafunzi nayo yawe yanakaguliwa kama wamefunga mikanda Pia magari ya hizi shule za private hana ubora kabisa n machakavu sana hata hayafai...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tumekosa ustaarabu katika kusitiri miili ya wenzetu

    N kwel kabisa hizo picha zinatuongezea machungu n bora zikatolewa kabisa kwenye mitandao
  9. N

    JamiiForums Tanzania RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

    Tuachanane na maswal ya siasa ilikuwa inatakiwa na lema kupewa nafasi ya kutoa salamu zake n kuwashukur wagen waliofika
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hili la NSSF kutokutoa mafao yetu ni kweli?

    Nasikia wanatoa baada ya miazi SITA ila kama hujapat kaz sehemu yoyote na Kama umepata kazi huwezi pata nnsf
Back
Top Bottom