Recent content by NitomokoJr

  1. NitomokoJr

    Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo

    Nadhani wenzetu wasimamizi wa soka ama wanashindwa kuona vyema, kama unamrejesha Samagoal na kumuacha Msuva lazima kuna jambo si la kawaida
  2. NitomokoJr

    Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

    Bado hatua moja, aliyewakutanisha askari wa JWTZ, Magereza na hao wengine wawili yupo, mahakama inawezekana haikupata namna ya kupata chanzo cha tukio. Sasa ni vyema wakati hawa wahalifu wakipata malipo, huyu Binti atafute aliyewatuma naye apate halali yake!
  3. NitomokoJr

    Kwa anayoyafanya Rais Samia tumpe mpaka 2035, Wapinzani nao wamemkubali

    Aaimamie katiba mpya! Kwanza then tunaweza zungumzia huo ubora!
  4. NitomokoJr

    Mhh! Maskini! Wanamuomba msamaha kwa kosa lipi?

    Huu utopolo .....,..kwamba lengo la kuajiriwa ni ili kukiwa na mapungufu usiyaseme bali ujiondoe? Kwa mantiki yako, hata kwenye ndoa, mmoja wa wanandoa asiporidhika aachoe ngazi street wako wadada na wakaka wengi watachukua nafasi,......eeee! Kanisani nako kama huridhiki na kiongozi nenda kwa...
  5. NitomokoJr

    Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Ni napata ukakasi......bring mkeka kuonesha malipo......Mimi ni opposition, some good things I note with great honor and applaud...... What troubles me though ni uhai wa watu wetu na hali zetu!
  6. NitomokoJr

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kiongozi nilichelewa kusoma but I am very interested having gone through.... Your training manual
  7. NitomokoJr

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    Jamaa hapendi habari asiyoipenda yeye
  8. NitomokoJr

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    Karatu iko Arusha
  9. NitomokoJr

    Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    Tanzania... Ni ya Watanzania wote na falsafa ya anayesema ukweli kuonekana mnafiki eti kwa vile jana alikuwa upande mwingine wa fikra.... Ni kufilisika.... Suala hapa kuna Safari inaishia katikati ya njia..... Na kukatika kwa safari yetu kumetokana na wanaomiliki basi na madereva...
  10. NitomokoJr

    Mgombea Wa CCM Jimbo la Moshi Mjini afananishwa na Yahaya

    Jamaa ali doubt kwa vile mosha nyumba ya dingi na hana makazi mengine hapa wala biashara!! ukimjengea dingi yako house si yako
  11. NitomokoJr

    Kambi ya mgombea Ubunge Moshi mjini yatandika raia kinyama!

    Wee jamaa ninajua hapa kuna wachambuzi wewe unayetaja ukawa tafakari vizuri, some elewa kisha fanya jambo sahihi; walitandika watu ni kambi ya mgombea ambaye chama chake kina rangi ya kijani!!!! Sawaaaa
  12. NitomokoJr

    Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

    mlipokuwa mnawazalisha Boda boda Mlitegemea wakiongezeka watapelekwa vyuo vikuu???
  13. NitomokoJr

    Lowassa "nitaanzisha benki ya bodaboda"

    Hatuwezi kuwaondoa boda boda sasa the simplest ni kuwatafutia namna ya kukua na baadaye kuwaondoa wengi wao katika mitaji midogo ili waingie mitaji ya kati watengeneze fursa zingine, huku tukipunguza kila mwaka idadi ya boda boda zinazoingia barabarani, kwa scientific methods!!
Back
Top Bottom