amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
Diwani wa chadema Arusha Kata ya Ngarenaro Isaya Doitha ambaye amekuwa na rekod ya kupiga watu na kuwadhalilisha hashwa wanawake mwaka jana akiwa amelewa alimpiga mwanamke mmoja ambaye ni jirani yake hapo Ngarenaro kesi ipo mahakamani juzi tena akiwa amelewa chakari amempiga na kumdhalilisha vibaya askari wa kike kwasasa huyu Diwani yupo kituo kikuu cha kati tangu jana mchana