Sishangai kwani nape, january, kikwete, sitta, kilango na ccm nzima wote ni elimu ya madarasani tupu. Ukiona chama kinashindwa kutetekeleza matakwa na malengo ya wananchi wanatumia hii tactics ya false argument 'kudanganya wananchi'
Ni kweli katika jamii lazima utakuwa na wale wasio na mwelekeo...