enzi hizo Tsh 1000/= unatoka MBZ to K'KOO kwenda na kurud, saiz kwenda tu haitosh had uongeze 50 iwe 1050/= na hyo ni kwenda tu, watu hatuon hilibkwel jmn , cdhan!!
Nadhan tumekosa wakutusaidia na tunapanda kwa kukosa option
Nmepita comment zote nmeona kuwa kumbe hii ni kero kwa wengi...
MWENDO KASI KWENDA MBEZI NI UTESAJI NA UONEVU
Kipindi cha nyuma MBEZ to POSTA/MUHMBL/KKOO ilkuwa 600/= na ikiwa umetokea KIBAMBA bas itaongezeka 400/= ya kuja MBEZ jumla Tsh 1000/=
kwenda kurud 2000/=
Leo hii:
KBAMBA-MBEZ 400/=
MBZ-KMARZ 400/=
KMAR-POSTA/KKOO/ MUHMBL...
Rahisi sana, nenda eneo tajwa kachek kama pcha ni za Kwel au la.. umeshatajiwa jina la shule, kata, wilaya vtakusaidia kufika hapo
Simple tu sio unauliza viswal ambavyo majibu unayo pia
kwan umeambiwa wanaolalamika ni wakenya au?
waliomchagua ndio wanaolalamika na ana wajibu wa kuwasikiliza
Mbona humpend Rais wetu ww au hujui kuwa anaekutakia mema atakueleza mapema kabla mambo hayajaharbika kama unavyotaka ww
aiseeee yuko vzur sana, safi sana..
hawa ndo wanaohtajka...
Ni mbunifu [emoji106] ,
hakalili
bila shaka atakuwa vzur hata sekta zngne maana ameonesha ubunifu wa hali ya juu
Au chapati ni lazma iwe ya duara jamn?
m nadhan content ndo cha maana umbo ni ubunifu wako tu so anaweza tengeneza...
hyo lugha ya malkia vp mkuu, ila wao huwa wanakosea pia wakiongea kiswahili..
kwenye mada husika sasa....
Je ni kwel kanda ya ziwa inauhitaji sana kuliko kanda zingne?
umeulza swal zur[emoji115] , japo wengi hawajalijibu nadhan ni kwakukosa takwimu
Naamini serikal ina nia njema na ina sababu za...
nlkuwa naitumia hyo app kpnd cha nyuma:
txt haziingii kwa wakat, znachelewa hadi uingie ndo txt nazo znaanza kuingia,
Alternatively, download gbwhasapp kwenye play store na unasajil kwa namba nyngne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.