unakera watu na thread za uchonganishi!huwezi kuweka thread ya kuelimisha umma au kujadili jambo la msingi lenye tija kwenye jamii??haya hii topic ina manufaa gani kwentu walalahoi!
tunajua mkweli ni nani na mnafiki ni yupi so tunasubiri chadema wanasema nini!tushaona cuf hakuna kitu, wanaharakati hakuna kitu, sasa ni chadema na nccr wabunge wao wawili!
nchi hii inajengwa na nani kwa asilimia nyingi, vijana tumesahauliwa kwa kiasi hiki, yeye ni wazee yani najiuliza ana maana gani kufanyua hivi?
1.hana uwezo wa kukabiliana na changamoto zao?
2.ni mwoga?
3.hana cha kusema make ameshindwa kuwatimizia ahadi zao alizowaahidi
4.anatuona hatuwezi na...
we ndo mropokaji???SOMA KWANZA UMUELEWE KIJANA KAANDIKA NINI??ANACHOKISEMA NI KUBALACE MAMBO!KAMA NIMEMUELEWA ANACHODAI INAPOFIKA MTU ANAIGUSA SERIKALI HUYU MTANGAZAJI ANAKUWA MKALI WHICH IS TRUE NA HILO NDO JAMBO KUBWA LILILONIFANYA NIACHE KUWASIKILIZA HAWA JAMAA!NI UKWELI MTUPU ALICHOSEMA NA...
knywa juice ya asali na vitunguu swaumu na kama ukiweza changanya na unga wa mbegu za tikiti!mashalaa utanitafuta kunipa asante kwa ushauri usio na mashariti na madhara yoyote!
suala la cdm kusemwa na ccm juu ya hotuba yake ni MKAKATI WA KUPINDISHA MANTIKI YA HOJA YENYEWE NA KUPOTOSHA WANANCHI ILI MIND ZAO ZIHAME KWENYE KATIBA NA KUWASHAMBULIA WANAMAPINDUZI WA KWELI, HOTUBA ILIKUWA NZURI ILA IMEBADILISHWA NAKUWA CHUKI KWA SABABU YA UKOSEFU WA UMAKINI WA WANASIASA WA CCM,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.