Dhana potofu na propaganda za uvunjifu wa amani-ni dhambi kumpumbaza mtanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhana potofu na propaganda za uvunjifu wa amani-ni dhambi kumpumbaza mtanzania!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Nov 23, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimekua nikisiliza baadhi ya wanasiasa na wanaandishi wa habari wakipotosha umma na kuzusha taharuki kinyume na hali halisi ili kukidhi matakwa na haja zao, ieleweke kwamba, mambo yote yanayoendelea ndani ya nchi ni propaganda za kisiasa na janja ya walanguzi wa nchi wakitumia mgongo wa waandishi wa habari wasio na haiba ya undishi, ni dhahiri kuwa kila mtanzania ana uelewa wa mambo mengi ingawa tunazidiana kwa viwango katika kuelewa mambo,

  ni ukweli uliotukuka kuwa, tumeambiwa na kutishia sana ikiwa ni pamoja na polisi kuvunja katiba ya nchi kukataza maandamano kwa propaganda za alshabab, hizi ni siasa za maji taka ambazo lazima zikemewe kwa nguvu ya uma katika kupigania ukombozi wa kweli wa mtanzania, kumekuwepo na vitendo kwa njia isiyo sahihi katika kutumia vyombo mbalimbali kueneza habari zisizokuwa kweli hasa pale wananchi wanapodai haki na kuhoji mambo mengi yenye majibu hatarishi kwa nchi juu ya mwenendo wa viongozi na utawala wao wa kiimla!

  ni dhahiri kuwa, kwa kila nchi yoyote ambayo ishaonja utamu wa madaraka, huwa inatumia janja nyingi na wakati mwingine huwa iko tayari hata kutoa roho za watu pindi wanapohisi tonge linataka kupokwa na wenye uchungu na nchi, kizazi chetu cha sasa, kilichoshuhudia karne mbili yani 20 na 21, tumeona mengi na bado tuanshuhudia mengi, tunahoji na kuwaza mwisho tunapata majibu yenye kutia hasira, tahamaki na uchungu juu ya yale tunayoyaona, tunayoyasoma na kuyasikia, tunashudia kwa macho yetu viongozi waandamizi wasio wazalendo waliojitokeza bila woga na kunadi sera mfu na propaganda za siasa kwenye mambo ya msingi na uhai wa taifa, ustawi wa taifa hauwezi kuwepo kama maslahi ya watanzania yatapuuzwa kama kinachooneka katika kipindi hiki!


  tumeona propaganda za katiba na hotuba za vijembe lenye lengo la kuudhoofisha na kuposha ukweli, lazima watanzania waelewe kuwa kosa linalotaka kufanywa na ccm ni kosa kubwa litakalotaka maelezo ya kina hapo baadae kwa kutaka kutumia kodi za wanachi kutengeza katiba feki ili ikataliwe tuingie uchaguzi na katiba ya sasa, hizi janja tushazishutukia na kamwe hatutakubali, delaying tacs zinazofanya ni siasa za kizamani na watanazania watambue kuwa, iwapo kura ya no itazidi ya ndiyo juu ya katiba mpya ni makubaliano yaliyowazi kwamba tutatumia katiba ya zamani, huu ni mtego wa kisiasa ambao ushashutukiwa na lazima tuukemee na walio nyuma yao tuwalaani na kamwe hatutaishia hapa!
  Mwisho nitoe rai kwa wananchi tujitahidi kuelimisha umma, tusimame na kujitokeza kupinga kwa nguvu kubwa juu ya uonevu wa makusudi unaofanya na chama ikiwa ni pamoja na kutumia rasilimali vibaya!
   
 2. N

  NIPENDEMIMI Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well said brother, umeongea ukweli mtupu! mwisho upo na ole wao, no stone will be left unturned!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280

  Everyone is crying out for peace, yes
  None is crying out for justice
  Everyone is crying out for peace, yes
  None is crying out for justice

  I don't want no peace
  I need equal rights and justice
  I need equal rights and justice
  I need equal rights and justice
  Got to get it, equal rights and justice

  Everybody want to go to heaven
  But nobody want to die, Father of the Jesus
  Everybody want to go up to heaven
  But none of them, none of them want to die

  I don't want no peace
  I man need equal rights and justice
  I got to get it, equal rights and justice
  I really need it, equal rights and justice
  Just give me my share, equal rights and justice

  What is due to Caesar
  You better give it all to Caesar, yeah, yeah, yeah
  And what belong to I and I
  You better, you better give it up to I

  'Cause I don't want no peace
  I need equal rights and justice
  I need equal rights and justice
  I have got to get it, equal rights and justice
  I'm a fighting for it, equal rights and justice

  Everyone is heading for the top
  But tell me how far is it from the bottom
  Nobody knows but everyone fighting for the top
  How far is it from the bottom

  I don't want no peace
  I need equal rights and justice
  I need equal rights and justice
  I have got to get it, equal rights and justice
  I really need it, equal rights and justice

  Everyone is talking about crime
  Tell me who are the criminals
  I said everyone is talking about crime, crime
  Tell me who, who are the criminals
  I really don't see them

  I don't want no peace
  I need equal rights and justice
  We got to get equal rights and justice
  And there will be no crime, equal rights and justice
  There will be no criminals, equal rights and justice

  Everyone is fighting for equal rights and justice
  Palestinians are fighting for equal rights and justice
  Down in Angola, equal rights and justice
  Down in Botswana, equal rights and justice
  Down in Zimbabwe, equal rights and justice
  Down in Rhodesia, equal rights and justice


  By Peter Tosh ยป Equal Rights
   
 4. k

  kabindi JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama kukiwa na haki hapawezi kuwa na uvunjifu wa amani! ila watu wakikosa haki zao, hata watokee wanajeshi na mizinga yao pamoja na vifalu pamoja na makombola ya kutungulia ndege hawatafua dafu kwenye nguvu ya Umma! KATIKA DUNIA YA LEO HAKI HAIPATIKANI MEZANI KWA MAZUNGUMZO ILA WAKATI MWINGINE NI KWA MAPIGANO TU ! MAANA WALIOKO MADARAKANI HUWA HAWAPENDI KUSIKILIZA WANANCHI WAILIOWAPA DHAMANA YA KUONGOZA! RWANDA WALIKUFA WENGI LAKINI LEO NI KATI YA NCHI ZENYE MFANO WA KUIGWA AFRICA KWA MAENDELEO!
   
 5. l

  luckman JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  There u are!BILA MAPAMBANO NI VIGUMU KUTIMIZA MALENGO YA NCHI!
   
Loading...