Recent content by nina90

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2010 Rostam amvaa Dr. Slaa lakini utetezi wake wamweka pabaya

    Nadhani Igunga ni Tabora kwa wanyamwezi...wasukuma huko Shinyanga na Mwanza wameshaishtukia sisiem na matunda yake ni idadi kubwa wa wabunge wa upinzani
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2010 Wabunge wa Znz na bunge la Jamhuri ya muungano Tz

    Ni kwa sababu wao ni wawakilishi wa zanzibar ktk serikali ya muungano...muungano wetu una sehemu mbili tu zanzibar na serikali ya muungano..hakuna kitu kama bara hivyo wawakilishi hujadili, kuchangia pia kutoa maamuzi ktk bunge la muungano..hii ni kutokana na katiba ilivyo kwa sasa!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Unlocking a laptop

    ilete computer center na risiti ulonunulia! tutakufungulia bure! hii ni kuzuia wezi na waporaji wa laptop za watu!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

    hukuona mkuu kazi ya vijisenti ilikuwa kumng'oa Sitta bila kuonekana kuwa katemwa!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    na bado kasafishwa! kweli uspika wa bongo kichwa cha mwendawazimu kila fisadi anajifunza kunyoa!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    matawi na branches!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    sio ndoto mkurugenzi!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    duh
  9. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    ha ha ha spika huyo!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    labda ndoto yako imetimia!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    vijisenti huyo!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    u r absolutely right kama swala la uchakachuaji utaliweka pemembeni!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    ????????????????????????
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2010 CHADEMA: Matokeo yetu yamehujumiwa

    CHADEMA: Matokeo yetu yamehujumiwa Na Alfred Lucas - Imechapwa 03 November 2010 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani kwa lengo la kukinyima ushindi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    true but don't up hope!
Back
Top Bottom