Unlocking a laptop

Mkakatika

Member
Nov 15, 2009
51
6
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake.
Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.
 
drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
276
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake.
Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.

inadai pass ukiwasha tu au? ila inawezekana kutoa pass bila shida
 
Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,033
2,296
BIOS password:::?

Encryption password:::?

OS password:::?

Akifungua tu haitoshelezi kupata msaada!
 
siwalaze

Senior Member
Oct 7, 2010
124
12
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake.
Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.

La msingi ni upgrade your windows!!! If it can not upgrade then u've to install new windows!!!! Installing new windows means u'll need to rescue ur data in da Windows Local disk residing!!! Their u come to UBUNTU..............!!!!!
 
nina90

Member
Oct 21, 2010
38
0
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake.
Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.

ilete computer center na risiti ulonunulia! tutakufungulia bure! hii ni kuzuia wezi na waporaji wa laptop za watu!
 
NetConfig

Member
Nov 11, 2010
18
0
kuna njia mbili tatu za kutatua hilo tatizo inategemea kama ni Admin password au ni normal user password, kuna software ya kuweza kuboot nayo command line interface than unareset hiyo passord au kuna njia ya kuweka OS cd kama ni xp unafika sehemu ya kuripair kisha una press F10 then unaendelea na commu and kuna option inafikia inakupa kureset password... just check kama hujafanikiwa tueleze tutatatua tutatatua tu na wazee wa kuchakachua OS za watu....
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,926
30,504
Kuna jamaa yangu kanipigia simu kuwa amesahau password yake hivyo hawezi kuaccess laptop yake.
Sikuwa na jibu hivyo wadau nawaombeni msaada ili nimsaidie jamaa yangu.

Mbona hujatuambia Laptop model ipi? Mwambie apeleke kwa Fundi wa Laptop kisha aifunguwe kwa ndani kuna mahali hiyo laptop kuna betri ya hiyo laptop aitowe kwenye hiyo laptop kwa muda wa dakika kumi kisha airudishe hiyo betri tena kwenye hiyo laptop itafuta hiyo password.

kama ni hiyo Password ya windows Xp afanye hivi

1. Turn on the computer, then press F8... this will bring up a boot options menu.
2. Select Safe Mode and click ENTER
3. Then wait for it to start up. (it should take longer than usual)
4. Click on admin (or type in administrator and click enter)
5. That should open up a "Back Door" account to let you change the password to any other accounts.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,926
30,504
Muro
Member

Join Date
Wed Oct 2010
Posts
32
Thanks
0
Thanked 1 Time in 1 PostRep Power
0

Re: Unlocking a laptop
Atumbukize kwenye maji

Mkuu MOD Watu kama hawa hebu jaribu kuwaonya wanajaza tu Server hawana msaada wowote katika hii Jamiiforums
 
MNDEE

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
491
67
Mbona hujatuambia Laptop model ipi? Mwambie apeleke kwa Fundi wa Laptop kisha aifunguwe kwa ndani kuna mahali hiyo laptop kuna betri ya hiyo laptop aitowe kwenye hiyo laptop kwa muda wa dakika kumi kisha airudishe hiyo betri tena kwenye hiyo laptop itafuta hiyo password.

Mkuu kutoa betry kwenye laptop si ageuze laptop chali achomoe betry. Same thing utafanya kama unataka kudefault to pre-installed programs/state kumbuka data na programs ulizoweka mwenyewe zitalambwa.
 
Mkakatika

Member
Nov 15, 2009
51
6
Asanteni sana wote mliochangia na kutoa maelezo mazuri sana. Nitawasiliana naye ili ajaribu njia zote hizi. Jibu nitaleta jamvini.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,926
30,504
Mbona hujatuambia Laptop model ipi? Mwambie apeleke kwa Fundi wa Laptop kisha aifunguwe kwa ndani kuna mahali hiyo laptop kuna betri ya hiyo laptop aitowe kwenye hiyo laptop kwa muda wa dakika kumi kisha airudishe hiyo betri tena kwenye hiyo laptop itafuta hiyo password.

Mkuu kutoa betry kwenye laptop si ageuze laptop chali achomoe betry. Same thing utafanya kama unataka kudefault to pre-installed programs/state kumbuka data na programs ulizoweka mwenyewe zitalambwa.

Mkuu samahani nimekusudia Bios Betry

By sajee_bling on Aug 12, 2008
i have Hp Pavilion dv9000 i forgot the bios password now i cant go into the system how do i reset my password?remove the bios battery from the laptop for about 30 minutes, when you put it back, you will not have the password anymore for bios, reset...

it can be upright or flat out, just check your and remove it.

EEA0E09.jpg

FA7BF0B.jpgWas this helpful? Yes

No
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,290
1,841
Kuondoa BIOS battery hakutaondoa Password ya Windows.
Pia kuondoa BIOS Battery kwenye laptop mara nyingi haisaidii kuondoa hata password ya BIOS, nishawahi kuhangaika na password ya BIOS kwenye laptop, ilikuwa mpaka ui short-circuit microchip fulani kwenye motherboard.
 
Mkakatika

Member
Nov 15, 2009
51
6
''Jof
Re: Unlocking a laptop
Hakuna kusahau password hapo? Ni ya w*z* tu hyo! ''Ubarikiwe sana kwa mchango wako pia Jof.

Kudos kwa msaada wadau wote kwani jamaa kafanikiwa. Tatizo laptop yake ina keyboard ya kijerumani. z= s na herufi nyingine sijui alibonyeza nini hivyo letters zikawa Kijerumani.

Hii ni baada ya kucheza na hints zenu wadau lakini baadae katika mahojiano nikagundua tatizo hilo. Ni Fujitsu type.

Pamoja tutafika tunakokwenda na siyo kukatishana tamaa au kashfa.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom