Recent content by Nina stori kama hiyo

  1. Nina stori kama hiyo

    JamiiForums Tanzania Hata John Komba na Hadija Kopa hajawahi kurekodi Albam nzima ili kusifia CCM, Huyu Harmonize kavunja rekodi

    Kijana anajua kucheza na fursa, anajua msimu wa uchaguzi unakaribia so anachojua atajitangaza na kupata chochote kutokana na ukubwa wa hicho, anajua hata wasiojua msiki watamjua wapenzi wa hicho chama, all in all anaweza kucheza na majira,Magu alimuweza tena kamuweza na Samia
  2. Nina stori kama hiyo

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza marafiki kisa mke wangu!

    Mueleze ukinikataza kuwa na marafiki zangu ntawatafuta rafiki zako ndio wawe rafiki zangu… then msikilize anasemaje!! Tafuta kweli namba zao anza ukaribu nao nayeye ajue kuwa kweli umeaminia upande wa rafiki zake kuwa rafiki zako
  3. Nina stori kama hiyo

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba atashinda 3-1 dhidi ya mpinzani wake yanga atashinda 2-0 dhidi ya mpinzani wake
  4. Nina stori kama hiyo

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Mrudie Mungu kikweli kweli, sijui imani yako ila fanya toba ya kweli kwanza, fanya ibada kwa mfululizo wa mfumo wa dini unayoiamini, kama haujaoa fanya mpango uoe, hama mji unaoushi kwa mda kama utaweza kama hauwezi, ama hicho kitongoji mfano kama unakaa chalinze amia mbele yake kidogo tofauti...
  5. Nina stori kama hiyo

    JamiiForums Tanzania Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Na ikitokea una pesa za kutosha yaani ni tajiri then haupo upande wao watakuwinda kila kona yako ili wakufirisi, wengi wapo huko sio kwa kupenda wapo tu kwa kujilinda na hiyo ndio mbaya zaidi
  6. Nina stori kama hiyo

    JamiiForums Tanzania Nitumie vigezo gani kununua pikipiki used

    Jichange nenda kanunue mpya dukani, polee najua hali ngumu ya kimaisha na labda hauna pesa ya kununua dukani, jichange kanunue dukani au kama vipi? Nenda kachukue zilee za mkopo na lipa kiasi ulichonacho na piga nao mahesabu kiasi kilichobaki ulipe taratibu taratibu mpaka umalize deni Zipo za...
Back
Top Bottom