Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,501
- 222,890
Hatari ya Jambo alilolifanya huyu kijana ni kubwa sana, hata kama amelipwa lakini hakuangalia mbele na wala hakujiuliza, kwanini Hadija Kopa au John Komba hawakufanya hivyo.
Kusifia ccm au Samia ni kujitenga na jamii, hawa hawapendwi na jamii, wanapendwa na Chawa, Muziki unataka watu, ukijitenga na watu unajiua kisanii, iangalie TOT au Vijana Jazz leo, hawa hata wakifanya Tamasha la Wazi Mbagala hawatapata watu.
Maana yake ni kwamba mwisho wa Harmonize ni 2025 baada ya CCM kung'olewa, anauwa kipaji kibwege sana!