Recent content by NINA IMANI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, Maboga yanalipa?

    Mkuu hizo mbegu za maboga ya Japan zinapatikana kwenye maduka ya kilimo, na hizo mbegu zinaitweje? Asante.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, Maboga yanalipa?

    Mkuu hizo mbegu za maboga ya Japan zinapatikana kwenye maduka ya kilimo, na hizo mbegu zinaitweje? Asante.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, Maboga yanalipa?

    Mkuu hizo mbegu za maboga ya Japan zinapatikana kwenye maduka ya kilimo, na hizo mbegu zinaitweje? Asante.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ninataraji kuvuna Maboga. Wapi ninaweza kupata soko?

    Mimi naomba kuuliza je wapi naweza pata soko la uhakika la majimbi na maboga mwezi wa sita 2018?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Nataka kulima nyanya aina ya monica f1 toka kibo seed,naomba kuuliza je mbegu hii naweza kupanda kifuku,nitapanda miche mingapi kwa ekari moja ,je mmea mmoja unatoa kg ngapi ya nyanya.asante
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

    Papuchi za aina gani mnazotaka,kwani huyo mkeo anakuwa hana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Wa jf ananisumbua!

    Hebu nithaminishe basi!
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jiepushe kurudiana na mpenzi wako zamani

    kurudiana na mtu uliyeachana naye ni ujinga mkubwa sana, ni kutaka kumwonyesha kuwa hakuna kama yeye dunia nzima , ni kujishushia thamani yako mwenyewe unaonekana hujiamini na bila yeye huwezi kitu. ukiachana na mpenzi fanya kama amekufa vile na maisha yako lazima yaendelee .
  9. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    ASANTE SANA KWA MAJIBU MAZURI, HIYO IVORY NI M 72 WP IMEANDIKWA METALAXYN 80 NA MANCOZEB 640, NILITAKA NITUMIE KWENYE NYANYA AINA YA EDEN. ASANTE
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    naomba kuuliza,nimepita kwenye duka la dawa za kilimo kununua dawa ya ukungu, nimezoea kununug ridomil gold kg 1 kwa sh 44,000 elfu nikaambiwa ipo na ivory kg 1 inauzwa sh 28,000 je utofauti huu wa bei unatokana na ubora wa dawa au nini? asante.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    naomba kuuliza ni aina gani ya nyanya hybrid ndefu ambayo ina gamba gumu na ninaweza kuvuna kwa miezi sita,kwani nataka nilime mwezi wa tisa ili nami nigongane na bei nzuri kama hao waliolima EVA F1 walioanza kuvuna mwezi wa kumi mpaka sasa maana miezi hii yote nyanya ina bei nzuri. Pia naomba...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    NAOMBA KUULIZA JE NAWEZA KUPANDA NYANYA AINA YA ANNA FI SEHEMU YA WAZI NA SIO KWENYE GREEN HOUSE NA IKAZAA VIZURI. JE EDEN F1 NAWEZA MWEZI WA TISA ILI NIVUNE MWEZI WA KUMI NA MOJA NA MBILI KWA NJIA YA KUMWAGILIA, AU INAFAA MASIKA TU. ASANTE
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    KWA MICHE HIYO 3200 HADI 3500 KWA SUKARI F1 NAWEZA KUPATA MATUNDA MANGAPI? JE KWENYE SHAMBA LA TIKITI NAWEZA CHANGANYA NA MAZAO MENGINE, JE NAWEZA KUPANDA KWENYE SHAMBA NILILOCHIMBA VIAZI NA MAGONJWA YALIYOKUWA KWENYE VIAZI KAMA MNYAUKO YAWEZA KUDHURU TIKITI? NITATUMIA MBOLEA KIASI KUANZIA...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    ASANTE SANA,NYANYA ZANGU HAZIJAUNGUA NA UKUNGU HUWA NAPIGA RIDOMIL GOLD ,NA ZINACHANUA ,JE NAWEZA KUENDELEA KUPIGA RIDOMIL GOLD PEKEE
Back
Top Bottom