Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

Status
Not open for further replies.
POLE HILO NI TATIZO LA LISHE, UPUNGUFU WA (VIRUTUBISHO VYA Calcium) na Maji. Tatizo linaitwa Blossom End rot-Kuoza kwa kitako cha tunda, Maji ni muhimu sana.

So weka maji kisha weka Mbolea yenye Calcium kama Yara Nitrabor, au CAN, kila mche upate gram 5. Tatizo litaisha
Na hii shida nini mkuu?
20170909_141807.jpg

Asha
 
POLESANA

HIYO NI FANGASI INAITWA ATHRACNOSE (MABAKABAKA KWA MAJANI NA MATUNDA). HUACHA ALAMA ZA MADOA DOA KWA MAJANI NA MATUNDA, NA KISHA MAJANI HUKOSA AFYA NA KUWA YA NJANO, NA KISHA MMEA WOTE HUSINYAA COZ HUWA INA SHUKA KWA STEM YOTE NA KISHA MIZIZI.

DAWA KAMA SCORE UKIWA UNAPISHANISHA NA MULTI POWER PLUS 78 WP, AU DAWA KAMA AGRIFOS 400 UKIPISHANISHA NA AZOXTROBIN ZITAKUSAIDIA. UNAWEZA PIA UKATAFUTA DAWA KAMA RUST KILLER UWE UNAPISHANISHA NA SCORE/MULTI POWER PLUS 78 WP. HIYO MULI POWER PLUS HUPATIKANA KWA UHAKIKA SANA KATIKA MADUKA YA TFA (TANGANYIKA FARMERS ASSOCIATION)

HUO UGONJWA UWAHI HARAKA SANA, UNASAMBAA NA UTAMALIZA MIMEA YOTE (HUKAUSHA), NA HUPIGA MATUNDA PIA HUWA NA MADOA DOA NA KISHA HUPASUKA.

Na hii shida nini mkuu?View attachment 585808

Asha
 
POLE HILO NI TATIZO LA LISHE, UPUNGUFU WA (VIRUTUBISHO VYA Calcium) na Maji. Tatizo linaitwa Blossom End rot-Kuoza kwa kitako cha tunda, Maji ni muhimu sana.

So weka maji kisha weka Mbolea yenye Calcium kama Yara Nitrabor, au CAN, kila mche upate gram 5. Tatizo litaisha
Nashukuru mkuu. Je CAN au nitrabor naweza kuzimix na pia kama urea na npk?? I nii apply in solution form?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
POLESANA

HIYO NI FANGASI INAITWA ATHRACNOSE (MABAKABAKA KWA MAJANI NA MATUNDA). HUACHA ALAMA ZA MADOA DOA KWA MAJANI NA MATUNDA, NA KISHA MAJANI HUKOSA AFYA NA KUWA YA NJANO, NA KISHA MMEA WOTE HUSINYAA COZ HUWA INA SHUKA KWA STEM YOTE NA KISHA MIZIZI.

DAWA KAMA SCORE UKIWA UNAPISHANISHA NA MULTI POWER PLUS 78 WP, AU DAWA KAMA AGRIFOS 400 UKIPISHANISHA NA AZOXTROBIN ZITAKUSAIDIA. UNAWEZA PIA UKATAFUTA DAWA KAMA RUST KILLER UWE UNAPISHANISHA NA SCORE/MULTI POWER PLUS 78 WP. HIYO MULI POWER PLUS HUPATIKANA KWA UHAKIKA SANA KATIKA MADUKA YA TFA (TANGANYIKA FARMERS ASSOCIATION)

HUO UGONJWA UWAHI HARAKA SANA, UNASAMBAA NA UTAMALIZA MIMEA YOTE (HUKAUSHA), NA HUPIGA MATUNDA PIA HUWA NA MADOA DOA NA KISHA HUPASUKA.
Asante

Asha
 
20170914_200248.jpg
kiongozi hii ni npk 10-18-24 yara kwa ajiri ya tobaco je naweza itumia kwenye mazao kama tikiti maji,nyanya,cabbage,sukuma wiki
 
mkuu eden f1 gram ngapi inatosha kwa shamba la ekari moja na inauza bei gani?
 
Nataka kulima nyanya aina ya monica f1 toka kibo seed,naomba kuuliza je mbegu hii naweza kupanda kifuku,nitapanda miche mingapi kwa ekari moja ,je mmea mmoja unatoa kg ngapi ya nyanya.asante
 
Wakati wa mvua nyingi tumia Eden F1, au Shanty F1, au Milele F1 au Bingwa F1. Kwa eka 1 unahitaji miche 11,000, mmea unatoa kilo 1-5/wiki3-wiki 8 za mavuno, hii ni kutegemea na matunzo yako (Mbolea, Madawa, udhibiti wa wadudu)

Habari ndugu zangu, mr nataka kulima papai mwaka huu ila ardhi nlonayo ni mfinyanzi ambayo inakua kavu sana wakati wa kiangazi.
Wenyeji wa pwani Luvu station maeneo ya kitomondo huko ndo nmepata ardhi. Naombeni busara zenu ndugu zangu. Ardhi hii itanifaa kwa kilimo cha papai?

Ahsanteni
 
Mkuu.
Naomba msaada Kwa mara nyingine kuhusu mipapai yangu.
Baadhi yake inakausha majani ya kileleni kama vile imeungua na baadaye eneo la juu inapinda.
Miti miwili imekausha majani yamebaki kileleni.
Nilitumia dawa aina Dimethionate na huimwagilia kila baada ya siku moja.
Ni tatizo gani na nitumie dawa gani.
Natanguliza shukran
 
Wakati wa mvua nyingi tumia Eden F1, au Shanty F1, au Milele F1 au Bingwa F1. Kwa eka 1 unahitaji miche 11,000, mmea unatoa kilo 1-5/wiki3-wiki 8 za mavuno, hii ni kutegemea na matunzo yako (Mbolea, Madawa, udhibiti wa wadudu)
Huu ni ugonjwa gani kiongozi? nimeona miche miwili ina hii shida mkuu!!

Majani kama hayana nguvu kabisa, nnachoshangaa ni kwamba kuna maji!!

1273_0.jpeg
 
Hiyo ni Bakteria wilt Mkuu

Tafuta uzi wake humu, nilikwisha ueleza na namna ya kujikinga/kupunguza maambukizi

Bad enough udongo wako ni kichanga, na huo ugonjwa hupiga sana katika maeneo hayo. NDIO MNYAUKO PEKEE AMBAO MIMEA HAIPUKUTUSHI MAJANI

Huu ni ugonjwa gani kiongozi? nimeona miche miwili ina hii shida mkuu!!

Majani kama hayana nguvu kabisa, nnachoshangaa ni kwamba kuna maji!!

1273_0.jpeg
 
hiyo ardhi haitakufaa mkuu kwa kilimo cha mipapai

MIPAPAI ikiwa michanga itakufa sana kwa sababu ya kukakamaa kwa udongo-Soil compaction, mizizi haitakua vizuri

Back
Top Bottom