Mwanamke Wa jf ananisumbua!

Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu
Huyo atakuwa mwanaume anataka umuoshee rungu. Mwanamke hawezi kusumbua muosha rungu.
 
Unanikumbusha enzi zangu natafuta umaarufu kwenye facebook nilikuwa na vijitabia kama vyako

Usijal ukikua utaacha
 
Ndo ukaamua kumuanika ili iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanamke Wa jf haachi kunifuata pm every time and now!

Anadai ametokea kuvutiwa Na jina langu Na anapenda tuonane ana kwa ana!
Nimejaribu kumuelewesha kuwa tayari Niko booked haelewi!

Najua watu watadhani labda natafuta sifa no! Its true!

Anavyoendelea kuniomba nami namuonea huruma jinsi alivyo beautiful sijui nimkubalie tuonane ila nisipige mechi au mnaonaje!

DJ sepetu

Kwani cha ajabu kitu gani mkuu mpaka umlete hapa jukwaani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom