Recent content by nimulikie

  1. nimulikie

    Tanzania na magrill milangoni na madirishani

    MKUU Unaishi wapi? Huenda huna uzoefu na maisha ya mitaa ya uswailini au mitaa wanayoishi watu mchanganyiko
  2. nimulikie

    Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

    Hakuna aliyewekewa mizengwe watu wanapinga mkataba ulio wa kinyonyaji.Waje na mkataba wenye maslai kwawote watapokelewa vizuri tuu. Alafu hata wewe Acha kueneza uwongo kuwa DP WOLD Wanafanyiwa figisu.Mpaka sasa ushawai sikia tamko lolote kutoka kwa DP WOLD? Zaidi ya selikali kutaka kulazimisha...
  3. nimulikie

    Sumu iliyopo kwenye viazi

    Ubarikiwe ndugu.
  4. nimulikie

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Umeitwa? Au kimbelembele
  5. nimulikie

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sqax1wbqwz qwjv z z 22 1 SW! Zzv[emoji7][emoji132][emoji7][emoji7][emoji15][emoji7][emoji15][emoji7][emoji561]svbmbbbc6vsbm
  6. nimulikie

    Usikose mnada huu kutoka Ubalozi wa Marekani

    Hata mimi mkuu.inatakiwa ufungue account na fungua ila kupata verification inakataa Sent from my VOG-TL00 using JamiiForums mobile app
  7. nimulikie

    Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

    Usimbebeshe mabeseni mtoto
  8. nimulikie

    Ufisadi wote uliosomwa na CAG chanzo ni Hayati Magufuli

    Hawa wanatumia MAGUFURI kama kichaka cha kutumia lmakosa yao
  9. nimulikie

    Ufisadi wote uliosomwa na CAG chanzo ni Hayati Magufuli

    Huu upuuzi mtaacha lini? Hizo ni hoja zakitoto mtu akishakufa kimahesabu hayupo na hana mchango wowote kwa output ya MATOKEO yanayo tokana na UONGOZI wa sasa.Kuballini tu kuwa taulo limewadondoka mbele ya MKWE.
  10. nimulikie

    Kwanini kupiga simu ndani ya nchi za afrika ni gharama?

    Wajuzi wa mambo naomba kueleweshwa imekaa je hii kiuchumi. Na je? Gharama ziki punguzwa Kuna hasala yoyote kiuchumi?
  11. nimulikie

    Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

    Mlimsema sanaa OMUGHAKA.Kumbe ni kawaida watunzi Wana majukumu mbali na maisha Y Jf
  12. nimulikie

    Lilongwe: Watanzania Washangilia Balozi wa Tanzania kuondolewa, yadaiwa alizorotesha Mahusiano ya Ubalozi na Watanzania wenzake

    Hapa hatuongelei jambo la magufuri wala alichokifanya humphley kipindi cha magufuri. Ludi kwenye Mada na utoe majibu
Back
Top Bottom