Recent content by Nimetoka Katavi

  1. Nimetoka Katavi

    Kundi la kigaidi la Islamic state lateka bandari muhimu Msumbiji

    Siyo waislam hao mkuu Mmarekani anakomaa arudishe uchumi wake China ni pasua kichwa aisee
  2. Nimetoka Katavi

    Wabongo huhisi upungufu fulani kwa kutegemea Kenya airways kwa kiasi kikubwa

    Yaani Kenya wanapewa mikopo mikubwa na Mashirika ya fedha Duniani halafu wanavimbishwa kichwa na wanaowakopesha na Wakenya wanajaa.Sasa badala ya kutanua vyanzo vya Mapato ili walipe hayo Madeni wao wanaharibu Mahusiano na Majirani ambao wangefanya nao Exchange na kudunduliza vijisenti ili...
  3. Nimetoka Katavi

    Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

    Mkuu Air Tanzania ina routes z Kenya?Tuanzie hapo.Kama hakuna wanajisemesha nini sasaa.Hawa kuwadharau Tz hatupeleki hata Mgambo,tunafanya Ujirani mwema na Alshabaab kwa wiki moja tu inatosha.Tz tushapigana sana saa hivi tunajenga Nchi.Uhuru wao Kenya wenyewe kuna Voice ya Tanzania.
  4. Nimetoka Katavi

    Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

    Tumuunge mkono Rais tuzae na tufanye kazi baada ya miaka 15 watajua Definition ya neno Tanzania
  5. Nimetoka Katavi

    Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

    Achana nao mzee baba mpaka waache upuuzi.Jamaa wana vikero vingi sana juu ya nchi yetu.Tunawabembeleza wa nini?
  6. Nimetoka Katavi

    Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Baasi bwana,Kenya wakajifanya wanaweza kuisaidia Somalia dhidi ya Alshabaab.Aisee kinachowakuta wenyewe hawasimulii maana ni aibuu.Alshabaab wakawaonya nyie tuacheni haya ni yetu ya ndanii jamaa wanakaza eti tunawaweza.Jamaa tuachieni mambo yetu ya ndanii, mbona Tanzania wametushauri tu...
  7. Nimetoka Katavi

    Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Kwani Anga la Korona lishagafunguliwa?Si nasikia Madege ya Duniani eti yananyewa na Popo tu huko na Mijusi yanafanyiamo zinaa?
  8. Nimetoka Katavi

    Msaada: Hawala anataka tugawane mali

    Ukikaa naye kwa siku tisini,hata kama ni Sogea tuishi basi anakuwa na haki zote kama mke kasoro cheti tu.Sasa Miaka mitatu unamchakata Papuchi halafu uje unajiliza huku JF.
  9. Nimetoka Katavi

    Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Kinyongha anapobadili rangi katika kila Mazingira anapokuwa huwa anahama u-kinyonga wake?Pili hapo Pamejaa kijani,huyo Mlinzi akiwa tofauti huoni anaweza kuwa Target?Pia Kijeshi hiyo inaitwa Kamafleji usituchonganoshe wananchi na Rais wetu.
  10. Nimetoka Katavi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mnanda(Jagwa Music),wimbo-ajali ya Mabomu Mbagala.
  11. Nimetoka Katavi

    UN yaikana taarifa ya Tanzania kuipigia kura Djibouti, Kenya lazima waisafishe Tanzania

    Ila hawa jamaa Siku wakijimix watakula cha mbwa koko,ujue Tanzania inaweka rohoni ujinga wa hawa jamaa.Hivi Kenya wanafikiri Personality yao ni kubwa kiasi vile Tanzania waishobokee?Hii illusion ndo inayowaumiza Wakenya.Superiority ndiyo inayowanyima amani hawa watu.Tanzania is the Great Country...
  12. Nimetoka Katavi

    UN yaikana taarifa ya Tanzania kuipigia kura Djibouti, Kenya lazima waisafishe Tanzania

    Hadi hatua hiyo tu tayari hicho kipengele kwa Tanzania hatuna faida nacho joto la jiwe
  13. Nimetoka Katavi

    Serikali Awamu ya Tano inaigeuza Tanzania kuonekana kituko Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Tufanye Kenya tumeshawanyima sasaa,wee unaamuaje?
Back
Top Bottom