Recent content by nimesota

  1. nimesota

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Snow ni kutumia nguvu kidogo so ulaji wa mafuta utapungua na hiyo ECT means power gari itaongeza nguvu hivyo ulaji wa mafuta utaongezeka
  2. nimesota

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kuchemsha. Tafadhali pitia uzi huu, unaweza kupata chochote

    Asante mkuu nakufuatilia sana ntakutafuta kesho au ijumaa unifanyie kazi
  3. nimesota

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Engine ya 1g kwenye altezza inavujisha oil nishafanya marekebisho kubadil gasket kuweka "maker" mara kadhaa lakin bado tu naomba ushauri kiufundi kutatua changamoto hii
  4. nimesota

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Side mirrors za altezza zenye taa ya indicator bei gani mkuu
  5. nimesota

    JamiiForums Tanzania Je, gari yako inatetemeka, engine kumisi au ukiwasha inazima inapokuwa ya baridi?

    Tairi ya gari kupiga kelele km mluzi fulani unapotembea all time baada ya kubadili brake shoe na bearing tatizo litakuwa nini na kuli solve
  6. nimesota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taratibu za kufunga ndoa ya Serikali (Bomani)

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  7. nimesota

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Poa mkuu nichekie pesa ipo
  8. nimesota

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Namba C fresh tu mkuu
  9. nimesota

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Voltz kwa mil 6
  10. nimesota

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu vipi ulipata wimbo wa ney wa mitego..kama ulifanikiwa nidondoshee hapa nausaka sana huo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nimesota

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Shukrani aisee ngoja niishushe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nimesota

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Wakuu nisaidien link ya traffic mod nzuri gari ziwe nyingi road na foleni kimtindo.....version 1.36 maana zingne hazi function Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nimesota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu niliyezaa naye tumezinguana. Roho inaniuma naombeni ushauri wenu

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. nimesota

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba Wimbo wa ney wa mitego wakat anaanza music alirekod kwa p funk majani....kama unanipenda we dada
  15. nimesota

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Hili folder nalipata location gani mkuu...kule kwenye documents?
Back
Top Bottom