Mondi ana manyimbo mengi ya mipasho anawapasha mpaka maex wake lakini hakuna anaeona, leo kaimba konde eti mipasho kama mwanamke hovyooo.... wala hammstui kunyweni chai ya pilipili mkalale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muono wangu nahisi huyo bwana alihusika kabisa na kifo cha mkewe kwanini wezi wamshushe yeye na wamng'ang'anie mkewe, ila sasa sababu za kumuua ndio haziniingii akilini daah! ni kesi ngumu japo Polisi walimua kuifanya kuwa nyepesi kwa kuingia makubaliano na hasa dereva wa tax maana ndie...
Yaani huyo huyo auze mgahawa na pia apike na kwa umri huo ina maana ni binti ambaye ndio kwanza amemaliza form four huo uzoefu na ujuzi wa kupika vyakula vyenye hadhi ya kimataifa ameupata wapi?
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Bora waikarabati hiyo reli tu wakati kama huu wamigombani watakuwa wanajioakia zao kwenye treni hao Moshi kwenye kisusio, lakini na wachaga hamjaiona Bombardier au ndo ubahili tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.