Recent content by nikubhilikile uje

  1. N

    Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Namba hizo mbona hazifanani? Pia hyo code ya 0678..... ni ya mtatndao gani?
  2. N

    Wanachama 3,000 wawania nafasi 261 za uongozi CCM

    Mbase 1970 nikweli Ndugu watueleze kwani kila Uzi ukitole na mtu kuhusu kielezea CCM wanadai anatafuta ukuu wamkoa au wa wilaya, je? wanaotoa taarifa zinazohusu CDM wao wanatafuta nini? pia sio kila mtu anashabikia siasa ila kajaribu kuelezea maoni yake
  3. N

    Reflecting something

    Yaan ipo siku nikipata mwanamke humo JF especially kwa wanaokejeli maumbile ya wanaume hatajuta nitamfanya mpaka ajuwe nikibania Wa muhogo kwani mnajidai mnakuwa selective sana wakati hicho kibamia ndio kimetunga mimba yako yaan ipo siku nawapimia tu subirini tu
  4. N

    Reflecting something

    Rose hiyo kitu umeiyo wap
  5. N

    Why do lazy & poor people resist changes?

    Mkuu umeongea kitu cha msingi sana kama tungekuwa tunakutana hana kwa hana wanajamvi was JF tungekimbiana kabisa Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia jinsi watu wanavyo toa maoni yao kiukwel zaidi ya 95% nimatusi na kutambiana na kutishana wakati hakuna lolote kelele nyingi kila siku
  6. N

    Telbox Tanzania hii ni ya kweli au ndio nimetapeliwa

    Uwiiiiiii sikia hakuna application yoyote ile inaweza kudukuwa taarifa za mawasiliano ya mtu lakini kunabaadhi ya simu ambazo zile simu zinatumia kwa kazi hiyo mara nyingi wanatumia watu special sio kwa simu zetu hizi tunazotumia hakuna kitu kama hicho naongea hivyo najuwa 100% usiulize kwann...
  7. N

    Mnishauri kuhusu huyu askari police

    Nimesoma kila comment nashukuru sana pia naamini mungu yu pamoja nasi naamni 100% hawezi kumpata hata kama ni ni boss wake na pia sio wanawake wote wanaotembea na mabiss zao ila cha msingi nikujipanga kikamolifu hili swala tuweze kuliepuka naamini mungu htatusimamia kwa hili
  8. N

    Mnishauri kuhusu huyu askari police

    Hyo bosi yaani nashukulu hayuko dar yuko mbali na mimi
  9. N

    Mnishauri kuhusu huyu askari police

    Habari za usiku wanandugu wenzangu. Nirejee kwenye head line mimi namchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa hivi karibuni mungu akijalia mwezi wa 12 tunafunga pingu za maisha kiukwel tumetoka mbali ni zaidi ya miaka 10 tukiwa o' level mapaka sasa tuko kwenye mahusiano yeye yuko mkoa...
  10. N

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Kwa dar mihogo nitatu 1000 wa wanao uza kwa fuso
  11. N

    Uzi maalumu wa kujuzana maeneo na fursa zinazopatikana

    Kunafursa nyingi sana kutegemeana na wewe muhusika unataka kufanya biashara gani? Mfano mimi napenda kilimo sana nimeanza na kilimo cha mihogo maeneo ya kimanzi chana pwani nilifikili coast yake sio kubwa shamba ninalo na nikaangali soko lake kwa wakazi wa dar nikubwa sana na pia mungu akinijali...
  12. N

    Kwa nini unapotaka kuanza project yako ni vizuri kutafuta story za walioanza wakashindwa kuliko za waliofanikiwa?

    Nikwel kaka biashara yoyote lazima utembelee pande mbili zote ili kujiwa kwnn kafanikiwa na kwann hakufanikiwa hayo yote yatakuwezesha kukufanya utengeneze mchakato wa kibiashara ulio imalika zaidi
Back
Top Bottom