Uzi maalumu wa kujuzana maeneo na fursa zinazopatikana

fursa nadhani zipo ipo ni wewe na akili yako na mazingira uliyopo,,,mfano kwa wakazi wa dar ambao wanakaa maeneo yaliyochangamka au wanaokaa maeneo karibu na shule,biashara ya asikirimu ni nzuri na aihitaji nguvu nyingi,unaweza pia jifunza kupika bites then ukajitanganza,upishi wa kwanza na wa pili usitegemee faida jitaftie soko peleka sample zako wazione,..kama hujui kupika jifunze!! yanafundshika...

kama unataka biashara za kueleweka (za mitaji mikubwa) angalia mahali ulipo kama movements fungua duka la nguo na vifaa vya watoto wa dogo...ni biashra nzuri sana sema inataka subra,...au kama una utaalam fungua duka la dawa,,,(nliskiaga mtaji kama 15M) sema hii ipo kisomi zaidi...(kariakoo kuna maduka kibao ya dawa za jumla)

kwa aliepo mkoani jifunze makeup na gele za kinaijeria...utaweza sana kuliteka soko kama ukijitangaza na ukiwa na mkono mwepesi( wapo watu kibao dar wanafundisha,,bei zinaanzia laki 5 na inabdi ujifunze sio chini ya miezi 3)

biashara nyingne nono ngoja niikaushie kidgo jaman...

mawazo yangu yameishia hapo japo najua yame base kwny biashara za kufanya wanawake na yenye faida ndogo ndogo ila ukijitahidi utatoka tu

sijataja kilimo coz bnafs hio biashara siipendi japo inalipa ila kwa kweli stress za kujua aina ya ardhi,mbolea sijui nn hayo nawaachia kina Ontario
 
Kunafursa nyingi sana kutegemeana na wewe muhusika unataka kufanya biashara gani? Mfano mimi napenda kilimo sana nimeanza na kilimo cha mihogo maeneo ya kimanzi chana pwani nilifikili coast yake sio kubwa shamba ninalo na nikaangali soko lake kwa wakazi wa dar nikubwa sana na pia mungu akinijali naenda mikoa mingine kulima mazao mengine ila soko language kuu ni dar kwamaana wingi wa watu na uwitaji wa vitu ni mkubwa sana
 
Njoo kusini na bidhaa kipindi cha msimu wa Korosho then ingia vijijini.utapiga pesa especially bidhaa za kina mama.
 
Wewe mwenyewe ni fursa, umewasaidia baadhi.
 
Kunafursa nyingi sana kutegemeana na wewe muhusika unataka kufanya biashara gani? Mfano mimi napenda kilimo sana nimeanza na kilimo cha mihogo maeneo ya kimanzi chana pwani nilifikili coast yake sio kubwa shamba ninalo na nikaangali soko lake kwa wakazi wa dar nikubwa sana na pia mungu akinijali naenda mikoa mingine kulima mazao mengine ila soko language kuu ni dar kwamaana wingi wa watu na uwitaji wa vitu ni mkubwa sana

Sawa wanotaka kulima mihogo wamepata mwanga.
 
Kama unae mtaji njoo huku vijiji vya kigom bado watu hawajafufuka kabisa ki**** utapga pesa mpaka ufurahi
Mm mwenyw napga Nazi huku Nina kaofisi kangu namshukuru mungu dikosi 300000 kwa mwezi mbsli na salary yangu

Mpe anae kupa
Mkuu wewe unachakarika na nini?! Tugusie kidogo labda na sisi wa Dodoma tunaweza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom