Recent content by nikolo makaveli

  1. nikolo makaveli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Tuna wanaume wa ajabu haijawahi kutokea[emoji16]
  2. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Mwamposa apewe maua yake

    Alipaswa kuwa jela kwa vifo alivyosabaisha Moshi by then si Kawe kwenye mkesha. Kinachomlinda hii serikali ya kishetani ya chama cha kijani
  3. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Ally Happi na Kafulila "waenda na maji", Watumbuliwa Ukuu wa Mkoa

    Kama Lukuvi na Kabudi walivyopewa teuzi nyingine
  4. nikolo makaveli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya muziki wa kizazi kipya na chimbuko la neno Bongo Fleva

    maelezo ya nani haya? Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  5. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fatilia utafiti ni kwa namna gani kupungua kwa ndege katika miji kunaathiri binadamu na viumbe wengine.

    Mwanaharakati wa Masuala ya Uhifadhi wa Mazingira na Rasilimali za Maliasili, Juma Mbao Amefanya tafiti kwa namna gani ukuaji wa Miji kama Dar es Salaam Unaathiri Uhifadhi na Malisho ya Ndege na Athari zake kwa Binadamu na Mazingira kwa ujumla. Kufahamu kwa undani kuhusu tafiti yake bonyeza...
  6. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fuatilia utafiti uliofanywa na mwanasheria kuhusu cryptocurrency na blockchain technology.

    Mkuu nisingeweza kuandika kila alichosema ni mahojiano ya zaidi ya dakika 15.
  7. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fuatilia utafiti uliofanywa na mwanasheria kuhusu cryptocurrency na blockchain technology.

    kama unaandika kitabu ni vyema ukaangalia pia kilichosemwa na mwanasheria kuhusu hilo suala
  8. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fuatilia utafiti uliofanywa na mwanasheria kuhusu cryptocurrency na blockchain technology.

    Mwanasheria amefafanua kiurefu kabisa na mengine mengi, angalia mahojiano baada ya kubonyeza linki. Nashindwa kuandika kila kitu hapa Mkuu!
  9. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fuatilia utafiti uliofanywa na mwanasheria kuhusu cryptocurrency na blockchain technology.

    Fuatilia tafiti iliyofanywa na Mwanasheria Pascal Mshanga kuhusu Sintofahamu ya Kisheria (Legal parable) iliyopo kwenye fedha za mitandaoni na teknolojia inayoziwezesha (crypto currency and block chain technology); Uhitaji wa mfumo wa udhibiti. Tazama mahojiano aliyofanya na The RISACHI ili...
  10. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Lifahamu tatizo la Shinikizo la damu la ujauzito (pregnancy induced hypertension)

    Daktari Saganya amefanya tafiti kuhusu tatizo la Shinikizo la Damu la Ujauzito (Pregnancy Induced Hypertension, (PIH)) kwa wanawake waliojifungulia Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa baadhi ya miezi ndani ya mwaka 2017. Kufahamu maana sahihi ya Shinikizo la damu la ujauzito na aina zake, ukubwa wa...
  11. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fahamu fursa zilizopo kwa SME wa Tanzania katika sekta ya mafuta na gesi asilia.

    Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Uhasibu na Fedha katika Mafuta na Gesi Asilia, Leonard Constantine Amefanya ‘Risachi’ kuhusu Ushiriki wa Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati (Micro, Small, and Medium Enterprises (SMEs)) katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia. Kufahamu Fursa zilizopo kwa SMEs katika...
  12. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sheria ya Makosa ya Mtandaoni (cybercrime act)

    Mwanasheria Emmanuel Ukashu amefanya ‘Risachi’ akichambua Sheria ya Tanzania ya Makosa ya Mtandaoni (Cybercrime Act) ya Mwaka 2015: Uelewa wa jamii juu ya Sheria hiyo. Kuifahamu vizuri Sheria hiyo na mipaka yake, makosa yaliyoainishwa kisheria, na nini kifanyike kuepuka kesi zinazoweza...
  13. nikolo makaveli

    JamiiForums Tanzania Fahamu fursa za kiuchumi zilizopo nchini toka kwa Mtafiti mwanahistoria.

    Mwanahistoria na Mdau wa Maendeleo, Francis Daudi amefanya Tafiti kuhusu Mahusiano ya Kiuchumi kati ya Tanzania na India toka Mwaka 1960. Kufahamu mahusiano hayo, fursa za kiuchumi zilizopo kwa Watanzania nchini India na baadhi ya tamaduni za Wahindi. Bonyeza linki ifuatayo https://goo.gl/fwACmV...
Back
Top Bottom