Lifahamu tatizo la Shinikizo la damu la ujauzito (pregnancy induced hypertension)

Aug 22, 2018
16
25
Daktari Saganya amefanya tafiti kuhusu tatizo la Shinikizo la Damu la Ujauzito (Pregnancy Induced Hypertension, (PIH)) kwa wanawake waliojifungulia Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa baadhi ya miezi ndani ya mwaka 2017. Kufahamu maana sahihi ya Shinikizo la damu la ujauzito na aina zake, ukubwa wa tatizo hilo, sababu (risk factors) zinazochangia uwepo wake na nini kifanyike kulidhibiti; tazama mahojiano aliyofanya na The RISACHI kwa kubonyeza linki ifuatayo https://goo.gl/g4AFJV
 
Back
Top Bottom