Recent content by NiggahStopper2

  1. NiggahStopper2

    Natafuta kazi ya utabibu, kwa malipo ya 300k ya uhakika

    [emoji23][emoji23][emoji23]sio poa kabisa
  2. NiggahStopper2

    Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

    Mim niliwaambia humu wakanipinga kwa maneno ya kejeli eti nilipie tangazo
  3. NiggahStopper2

    Biashara ya lodge na pub

    Wanalipwa kwa commission
  4. NiggahStopper2

    Nini sababu ya damu kwenye kinyesi

    Jina lake tu Lina majibu yote[emoji23][emoji23]
  5. NiggahStopper2

    Mpenzi wangu ameniambia nioe wanawake wawili bila hivyo tuachane

    Tangazo la nini? Mimi sio mganga wala siuzi dawa wala situmii hizo dawa zenu.
  6. NiggahStopper2

    Mpenzi wangu ameniambia nioe wanawake wawili bila hivyo tuachane

    Huwenda ikawa kweli anamtu au sikweli, lakin swali ninalo jiuliza kwanini wote watatu wananiambia neno hilo hilo?
  7. NiggahStopper2

    Mpenzi wangu ameniambia nioe wanawake wawili bila hivyo tuachane

    Watu kama nyie huwa hamkosekani kila kitu ni chai,basi ngoja nitafute vitafunwa.
  8. NiggahStopper2

    Mpenzi wangu ameniambia nioe wanawake wawili bila hivyo tuachane

    Hapo ndio mtihani ,ila kama nikupunguza uzito mara moja moja nje hiyo si tatizo mfuko upo njema.
  9. NiggahStopper2

    Mpenzi wangu ameniambia nioe wanawake wawili bila hivyo tuachane

    Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mkasa wenyewe. Wanaume wenzangu naombeni mbinu ya kupunguza mashambulizi kwa hawa jinsia ke , maana huyu ni mtu wa tatu anasema nikiendelea kukamia show hivyo wanawake watakuwa wananikimbia tu. Kitu kilicho nishitua alisema ili tuendelee kuwa...
Back
Top Bottom