Mpenzi wangu ameniambia nioe wanawake wawili bila hivyo tuachane

Joined
Oct 24, 2021
Posts
72
Reaction score
63
Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mkasa wenyewe.

Wanaume wenzangu naombeni mbinu ya kupunguza mashambulizi kwa hawa jinsia ke , maana huyu ni mtu wa tatu anasema nikiendelea kukamia show hivyo wanawake watakuwa wananikimbia tu.

Kitu kilicho nishitua alisema ili tuendelee kuwa kwenye mahisiano ni bora nitafute mwanamke mwingine ili yeye apate ahuweni kwani anachoka sana ila huwa anavumilia tu ili asiniboe

Nilikuwa naomba ushauri nifanyeje ili nipunguze kasi ya mashambulizi.
 
Ana mtu wake, tafuta mwingine, mbona lugha rahisi tu hiyo?
 
N
Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mkasa wenyewe.

Wanaume wenzangu naombeni mbinu ya kupunguza mashambulizi kwa hawa jinsia ke , maana huyu ni mtu wa tatu anasema nikiendelea kukamia show hivyo wanawake watakuwa wananikimbia tu.

Kitu kilicho nishitua alisema ili tuendelee kuwa kwenye mahisiano ni bora nitafute mwanamke mwingine ili yeye apate ahuweni kwani anachoka sana ila huwa anavumilia tu ili asiniboe

Nilikuwa naomba ushauri nifanyeje ili nipunguze kasi ya mashambulizi.
Nikipata mwanamke kama huyo raha sana yaani ananiruhusu nikapeleke moto nje!!

Mkuu usichezee hiyo bahati
 
Usikute huyu anakula kyepe Na sembe halafu anakuja hapa kutochosha bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom