Recent content by nicolo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Manispaa na Halmashauri?

    Ilala ilikuwa Halmashauri ya Manispaa na sasa imepanda.
  2. N

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ni Serikali Kuu na kuna Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Wilaya husika. Mamlaka za Serikali za Mitaa ni Halmashauri za Wilaya pamoja na Miji Midogo, Miji, Manispaa na Majiji. Ukiondoa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam, Wilaya ya Tanga na Wilaya ya Dodoma Mjini ambazo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Manispaa na Halmashauri?

    Ni kweli vigezo vipo wazi. Hata hivyo, kigezo cha kiuchumi hakizingatiwi kwa kuwa mapato yote ya uhakika yanachukuliwa na Central Government na hivyo hata uendeshaji wake unategemea central government. Jambo lililo wazi uwepo wa Mamlaka za Serikali za Mitaa umesaidia kusogeza huduma kwa wananchi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Makatibu Tawala, ahamisha wengine. William Erio aondolewa NSSF

    Mamlaka iliyomtengua uteuzi itampa kazi nyingine.
  5. N

    JamiiForums Tanzania DED wa Kyerwa ni tatizo kwa Watumishi

    Lalamiko lake ni la kiutawala zaidi. Akiwasilisha huko litafanyiwa kazi hakuna shaka yoyote.
  6. N

    JamiiForums Tanzania DED wa Kyerwa ni tatizo kwa Watumishi

    Namna bora peleka malalamiko katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya badala ya kuleta huku.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliokuwa masomoni wamekosa sifa ya kupandishwa vyeo

    Kwa maana ya miaka minne unaondoa kipindi ulichokuwa masomoni tu. Ni wajibu wa mwajiri kukupandisha cheo katika kipindi cha miaka minne iwapo hajafanya hivyo una haki ya kumwandikia ili kufahamu. Unahitaji kupata Sera ya Utumishi wa Umma, sheria ya Utumishi wa Umma na kanuni zake. Zinapatikana...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watumishi waliokuwa masomoni wamekosa sifa ya kupandishwa vyeo

    Mtoa mada anahusisha kutopandishwa vyeo kwa watumishi wanaokwenda masomoni kama kosa la jinai. Ni muhimu tukawa na uelewa Sawa kuhusu utaratibu wa kupandishwa vyeo na faida za mafunzo kwa mtumishi na Serikali katika Utumishi wa Umma. Tuanze kuangalia utaratibu wa kupandishwa vyeo. Kwanza...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Aina za vitambi na sababu zake

    Tafsiri ya haraka ya kitambi chochote ni kuwa tunatembea na chakula cha ziada ambacho mwili hauhitaji. Mtizamo wa jamii kwa siku za nyuma ukiwa na kitambi inaonekana kama mambo yako ya kiuchumi ni mazuri na inaonekana kuwa mfano bora wa watu waliofanikiwa kimaisha. Ni muhimu tukadhibiti ulaji wa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    Pole sana Kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

    RIP. Dunia ni mapito
  12. N

    JamiiForums Tanzania Viwango vya posho za kujikimu Dar es salaam na Gharama za usafiri kurudi mahali nilipo ajiriwa

    Iwapo taratibu hazijazingatiwa unaweza kwenda Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kupinga unfair termination. Hustahili kulipwa posho ya kujikimu sheria ilishafanyiwa mabadiliko
  13. N

    JamiiForums Tanzania Viwango vya posho za kujikimu Dar es salaam na Gharama za usafiri kurudi mahali nilipo ajiriwa

    Wanapaswa kukurejesha place of engagement ambayo ni Bukoba kwa mujibu wa maelezo yako. Stahili nyingine ni kama zilivyo kwenye mkataba. Suala la kusitishwa mkataba lina taratibu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wana JF, aliye na ufahamu na chuo cha madini Dodoma

    Kigezo kikubwa katika udahili ni kiwango cha ufaulu. Petroleum Geosciences inachukua vipanga zaidi. Kama amefaulu sana ni muhimu akachagua mwenyewe kwa utashi wake
  15. N

    JamiiForums Tanzania May Mosi 2016

    Hoja hiyo ni dhaifu na imepitwa na wakati kutokana na hoja zifuatazo:- Dhana ya kutoka Wizara ya Elimu na kwenda kwenye Mamlaka za Wilaya na Miji ilikuwa ni utekelezaji wa dhana ya kugatua madaraka. Walimu wameundiwa chombo kipya ambacho kitawahudumia kuanzia Julai, 2016.
Back
Top Bottom